Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
🤣🤣🤣Na huku umekuja kuleta majungu tena 😆😆
Wewe unafaa? Tuandikie kingereza chako hapa
Sina imani nae ni Mchanga mno he has not invested a lot on himself especially on language, international confidence, hana context za maana kufit hio nafasi. Tanzania imepoteza sanaYuko sawa na anaweza...
Achana na wazushi...
Mbeleko mbekekoNimeangalia video ya January Makamba akila kiapo cha ujumbe wa bunge la Africa mashariki, bado naona ni kiumbe Mchanga sana
Rais ataumia sana jamaa ulimi mzito sana na sio mtu wa multidisciplinary contents , taifa linaenda kupotea kimataifa seriously.Mbeleko mbekeko
Malaika ni wao acha wale tuHuyo mwenzio hafikirii perfomance..anafikiria upigaji..atakuambia zinahitajika trilioni mbili kufanya ukarabati wa balozi zetu..na bibi huwa anamsikiliza utasikia tunakupa kwanza bilioni 500..hutosikia ukarabati wala nini...
Angekuwa hajakaa wizarani ungesema mchanga.Sina imani nae ni Mchanga mno he has not invested a lot on himself especially on language, international confidence, hana context za maana kufit hio nafasi. Tanzania imepoteza sana
Members wa mbuyu, msufi, na freemasons ni wachacheTatizo serikali inafanya recycling [emoji748] ya mawaziri ni kama nchi hii haina vijana au watu wengine wenye uwezo wa kuongoza.
Yaani mtu alikuwa Wizara ya nishat amefeli ,alafu huyohuyo unampeleka wizara nyingine.
Mtu mmoja anakuwa waziri wa ulinzi,michezo,afya,kilimo huyo huyo sasa sijui kuwa wanajua kila kitu ??
Hawaniwezi mende hao, ni mshikaji wangu ila hamna kitu hapo ulimi mzito sana na content hamnaNgoja chawa wa January wanapewa Rupia waje kukupoa.
Anawazidi bashungwa na Mwigulu at leastAngekuwa hajakaa wizarani ungesema mchanga.
Hayo ya lugha ya kiingereza ni kasumba tu..
Akienda China au Urusi ataongea tu...
LiTANESCO limenshinda licha ya kupewa matrillions ,Kwa kumfichia aibu ndio wakampeleka huko kusiko hitaji vitendo.Hawaniwezi mende hao, ni mshikaji wangu ila hamna kitu hapo ulimi mzito sana na content hamna
Makamba it go Europe it say English and the minister external issue of Britain.Tusipimane kwa lugha ya kingereza!,
"Please left your prostitute,the man is our man is a child from our fathers, am fine thanks how about others!!😂😂'