Uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni uamuzi mbovu sana

Uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ni uamuzi mbovu sana

Siamini kama january ana kiingereza kizito labda ni jinsi anavyoongea.
Huyo ni next prezidaa wako
 
kwa kiasi uko sawa yuko domesticated sana ukiangalia history yake ya shule aendelee kujiboresha
 
Nimeangalia video ya January Makamba akila kiapo cha ujumbe wa bunge la Africa mashariki, bado naona ni kiumbe Mchanga sana, kiingereza chake ulimi mzito, confidence mbovu, ni aina ya mtu asiye na exposure yoyote. Afadhari ya Bashe.

Napata shida kwenye meza ya majadiliano tutapigwa za uso Kila sehemu.

Hakika kimataifa sasa taifa linaenda kupotea.

Poleni Watanzania wote.

Ndio hivyo tena

Wadiz
Ulitaka iteuliwe wewe?
 
Tusipimane kwa lugha ya kingereza!,

"Please left your prostitute,the man is our man is a child from our fathers, am fine thanks how about others!!😂😂'
I has see what you conservation with the ranguage, I have need to say you had try it very correct, I am fine thank you
 
Tusipimane kwa lugha ya kingereza!,

"Please left your prostitute,the man is our man is a child from our fathers, am fine thanks how about others!!😂😂'
"Please left your prostitute" tafsiri hapo umeniacha kwenye Kona
 
Siamini kama january ana kiingereza kizito labda ni jinsi anavyoongea.
Huyo ni next prezidaa wako
Hii akili ya ndani ya familia sio ya nchi hii. January ananuka hatari.
 
Nimeangalia video ya January Makamba akila kiapo cha ujumbe wa bunge la Africa mashariki, bado naona ni kiumbe Mchanga sana, kiingereza chake ulimi mzito, confidence mbovu, ni aina ya mtu asiye na exposure yoyote. Afadhari ya Bashe.

Napata shida kwenye meza ya majadiliano tutapigwa za uso Kila sehemu.

Hakika kimataifa sasa taifa linaenda kupotea.

Poleni Watanzania wote.

Ndio hivyo tena

Wadiz
Mwana nilikuwa nampa gwala sana Kati ya 2013 hadi 2017.. baada yapo nikagundua ni mtu wa deal nikatemana nae. Hana mchango wowote kwa taifa hili.

Katumia mahela meengi kukarabati tanesco na kubadili uongozi mzima lakini huku kitaa hakuna Umeme.

Huko mambo ya nje wanamrudisha Sasa hivi tu hana protocali yoyote kichwani.
 
Back
Top Bottom