Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Dr umri umesogea sana! Naunga mkono swala MM Mwanakijiji. Ameendesha siasa zetu nyuma ya keyboard muda mrefu. Political involvement yake imejaa experience kubwa sana.
 
Rodrick Mpogolo, Pereira Silima au Alhaji Mkundya ( Mkuu wa wilaya ya Moshi) hawa ndio wanafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM
 
It will serve Magufuli well to have a loyal lieutenant by his side.
Eeenh Heee.

And what is more interesting than Monday morning, waking up to hear from the airwaves; nay, from the electronic bundles that President Magufuli has tapped the services of Nyani Ngabu as the replacement for Popole, Katibu Mwenezi..., and what not!

Congratulations to the trio of you are certainly in order!

What a "Tanzania Mpya" to look forward to!
 
Umeona eeh?

Jamaa anafaa sana.

Ni political strategist mzuri sana.
Mwanakiji kigezo cha dini kitamuangusha... Si unajua tena CCM na mambo yao ya kujifanya wanachanganya!!? Kwa hiyo number 1, 2 & 3 hawawezi toka upande mmoja.
 
What do you think though? Think he’ll make a good Secretary General?
Mzee Mwanakijiji kwa wakati huu wa siasa za uchumi wa kati anahitajika kuwa jikoni kugroom vijana namna ya kukwepa mishale ya kisiasa na siyo kuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano akiwa na jeshi lisilo na utamaduni wa nidhamu za kisiasa.

Mimi ukiniambia January Makamba naweza kusema ana uwezo na ubunifu wa Siasa jamii. ni kijana pia ana uzoefu
 
Eeenh Heee.

And what is more interesting than Monday morning, waking up to hear from the airwaves; nay, from the electronic bundles that President Magufuli has tapped the services of Nyani Ngabu as the replacement for Popole, Katibu Mwenezi..., and what not!

Congratulations to the trio of you are certainly in order!

What a "Tanzania Mpya" to look forward to!
You can miss me with your bovine faeces.
 
Mzee Mwanakijiji kwa wakati huu wa siasa za uchumi wa kati anahitajika kuwa jikoni kugroom vijana namna ya kukwepa mishale ya kisiasa na siyo kuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano akiwa na jeshi lisilo na utamaduni wa nidhamu za kisiasa.

Mimi ukiniambia January Makamba naweza kusema ana uwezo na ubunifu wa Siasa jamii. ni kijana pia ana uzoefu
Makamba can’t be trusted. He may sabotage the president.
 
"Miss you"?

You forget the position is "Katibu Mwenezi..."!
Hahahaaa.

Just stick to your mother tongue.

Again, you can miss me with your bovine faeces.

Deuces ✌️
 
Back
Top Bottom