Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Makamba siyo kijana tena. Labda kijana wa zamani, alafu aliishajichafua kwa madai kuwa anajuwa Kingereza na Kiswahili kuliko uncle Magu. Eti Magu mshamba. Kule kwetu kako kamsemo "usitukane mkunga kuzaa kungalipo". Makamba na yule kijana wa zamani wa kuropokaropoka na kujiona wa mkoa wa Ntwara, waliisha jiharibia, wao wakae benchi tu wakingoja huruma ya wapiga kura wao. Wakileta chokochoko tena, majina yao hayatatoka.
 
M. M. Mwanakijiji.

Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM.

By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’.

Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire that President Magufuli has tapped Mzee Mwanakijiji to be CCM’s next Secretary General and Mwanakijiji has accepted it.

Hahahaaa. Acha kabisa. Kuna watu watapoteza fahamu.

Wapo wataodai Magufuli kavunja katiba ya nchi. How? I don’t know.

Wale Watanzania waishio kwenye Jamhuri ya Twitter wakiongozwa na mwanasheria wao mkuu, Bi Shangazi, watakuja na vifungu vyao vya sheria kudai kuwa uteuzi wa Mwanakijiji kuwa katibu mkuu mpya wa CCM umevunja katiba ya nchi!

There is something about President Magufuli that always manages to get a rise out of his detractors and cause them to lose their collective minds.

So it’s not that far-fetched for them to claim Magufuli has once again violated the TZ constitution by picking Mzee Mwanakijiji to lead his party.

Kidding aside, I think Mzee Mwanakijiji would be an excellent choice for the party’s Secretary General.

No doubt it will be an out of left field choice. But an excellent one, nevertheless.

Mzee Mwanakijiji has been a staunch supporter of the president since almost day one. He hasn’t wavered [at least not publicly].

I believe the two will have a simpatico working relationship. They seem to have the same or similar kind of vision with how the country should be governed.

It will serve Magufuli well to have a loyal lieutenant by his side.

Hey President Magufuli: reward that loyalty by picking Mwanakijiji. Hatokuangusha.
Is Mwanakijiji Mashinji?
 
Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Unaongelea vijana gani wanaomkubali January Makamba? Labda wadada wanaopenda muonekano wake. Ukiona kijana anamkubali JM basi huyo ni pisi kali
 
You have nailed it Nyani Ngabu. Thamani ya Mwanakijiji iliporomoka alipoona Lissu's assassination attempt ni kitu cha kawaida
 
Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Tatizo la January papara za kutaka urais,labda Kama amejifunza Kama mwenzie Nchemba
Yeyote ambae so mjumbe wa NEC inabidi ateuliwe kwanza na mwenyekiti kwenye nafasi zake,ili awe mjumbe wa NEC halafu apendekezwe kuwa KM.
 
J alishikeje kundi la vijana? Kuwala wadada wachuo na kufukua tope za magay?? Kwenye hii nchi viongozi vijana ndo useless kabisa Kwa vijana wenzao kuliko wazee
Tooba! Kha! ni mchafu kiasi hiki?? nilifikiri ni ktk 'takrima' tu 😡
 
Back
Top Bottom