Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Makamba siyo kijana tena. Labda kijana wa zamani, alafu aliishajichafua kwa madai kuwa anajuwa Kingereza na Kiswahili kuliko uncle Magu. Eti Magu mshamba. Kule kwetu kako kamsemo "usitukane mkunga kuzaa kungalipo". Makamba na yule kijana wa zamani wa kuropokaropoka na kujiona wa mkoa wa Ntwara, waliisha jiharibia, wao wakae benchi tu wakingoja huruma ya wapiga kura wao. Wakileta chokochoko tena, majina yao hayatatoka.
 
Is Mwanakijiji Mashinji?
 
Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Unaongelea vijana gani wanaomkubali January Makamba? Labda wadada wanaopenda muonekano wake. Ukiona kijana anamkubali JM basi huyo ni pisi kali
 
You have nailed it Nyani Ngabu. Thamani ya Mwanakijiji iliporomoka alipoona Lissu's assassination attempt ni kitu cha kawaida
 
Nahisi Dr Wilbroad Slaa atapewa nafasi hiyo...Au kama Rais angetaka kulishika kundi la Vijana angempa January Makamba.
Tatizo la January papara za kutaka urais,labda Kama amejifunza Kama mwenzie Nchemba
Yeyote ambae so mjumbe wa NEC inabidi ateuliwe kwanza na mwenyekiti kwenye nafasi zake,ili awe mjumbe wa NEC halafu apendekezwe kuwa KM.
 
J alishikeje kundi la vijana? Kuwala wadada wachuo na kufukua tope za magay?? Kwenye hii nchi viongozi vijana ndo useless kabisa Kwa vijana wenzao kuliko wazee
Tooba! Kha! ni mchafu kiasi hiki?? nilifikiri ni ktk 'takrima' tu 😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…