Uteuzi wa M/Kiti wa Bodi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania

Hand

Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
8
Reaction score
13
Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.

Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.

Mamlaka ya Anga Tanzania iko chini ya Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi( nitaomba kusahihishwa kama nitakosea)

Swali langu la Msingi ni kwamba, Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi ni Wizara mojawapo ambayo iko chini ya Wizara ambazo ziko kwenye Muungano?

Kama haiko chini ya wizara zilizoko chini ya Wizara za Muungano, Ni Sahihi kwa uteuzi alioufanya Rais Samia kumteua Bi. Mtumwa Kutoka Zanzibar kuwa Mkiti wa Bodi ya Taasisi ambayo sio Sehemu ya Muungano?

Naomba kueleweshwa Wakuu
 
Hayo mambo yatakupotezea muda tu.

Kamuulize Mzee Ruksa alizaliwa wapi.

Kamuulize Hussein Mwinyi alizaliwa wapi

Ukijua neno Tanzania huhitaji kujua zaidi ya teuzi huyu katoka upande upi.

RAIA wa TZ awezafanya kazi popote,ila atasimamia miongozo atakayoikuta kama ya Muungano au laa
 
Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.

Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.

Mamlaka ya Anga Tanzania iko chini ya Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi( nitaomba kusahihishwa kama nitakosea)

Swali langu la Msingi ni kwamba, Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi ni Wizara mojawapo ambayo iko chini ya Wizara ambazo ziko kwenye Muungano?

Kama haiko chini ya wizara zilizoko chini ya Wizara za Muungano, Ni Sahihi kwa uteuzi alioufanya Rais Samia kumteua Bi. Mtumwa Kutoka Zanzibar kuwa Mkiti wa Bodi ya Taasisi ambayo sio Sehemu ya Muungano?

Naomba kueleweshwa Wakuu
Kwa sasa hatuendi kwa katiba, tutafanya hivyo uchumi ukikua!
 
Huyo rais kateua mtu wa familia yake kwenye baraza la mawaziri.

Unategemea nini?
 
Msilalamike saana,huwezi kutathimini uongozi wa mtu tena wa ngazi ya juu kabisa kwa wiki moja,mlileta maneno mengi sana na sifa kedekede mara oooh anaupiga mwingi mara oooh Tanzania ilikosa watu kama hawa,naomba tuelewane kitu kimoja tuendelee kuimba nyimbo za kusifu na mapambio Lukuki maana unafiki watanzania umezidi sana,mtu kanya kinyesi kisichonuka mnasema huyu anakunya vizuri stupid!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya uzanzibari na ubara siyo hoja nzito. Pengine tungeangalia kama anazo sifa za kukalia kiti hicho. Hata hivyo tuelewe kuwa maamuzi ya Rais (ikiwemo teuzi) hayahojiwi popote labda kwenye.vikao vya.chama chake.
 
Ndo katiba inasema hivyo?

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mama anaupiga mwingi....anabeba nduguze makunduchi kuwaleta bara akitoka na wao wataondoshwa haraka....
 
Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.

Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.

Mamlaka ya Anga Tanzania iko chini ya Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi( nitaomba kusahihishwa kama nitakosea)

Swali langu la Msingi ni kwamba, Wizara ya Miundo Mbinu na Uchukuzi ni Wizara mojawapo ambayo iko chini ya Wizara ambazo ziko kwenye Muungano?

Kama haiko chini ya wizara zilizoko chini ya Wizara za Muungano, Ni Sahihi kwa uteuzi alioufanya Rais Samia kumteua Bi. Mtumwa Kutoka Zanzibar kuwa Mkiti wa Bodi ya Taasisi ambayo sio Sehemu ya Muungano?

Naomba kueleweshwa Wakuu
Kama bodi ni ya Tanzania,na kila mzanzibar ni mtanzania,shida ipo wapi?
 
Back
Top Bottom