Kituo cha kazi ni mpaka nchi wanazotakiwa kwenda waridhieLeo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
Pia Hadi waapishwe, mbona mwendazake alikuwa anateua halafu hapangi vituo vya kazi lakini mshahara wanalipwa.Kituo cha kazi ni mpaka nchi wanazotakiwa kwenda waridhie
Huwa nchi inapeleka jina nchi husika inaweza kukubali au kukataa kutokana na vigezo vya nchi, Tanzania ilishakataa balozi toka nchi fulani kisa shoga kipindi cha JKPia Hadi waapishwe,mbona mwendazake alikuwa snateua alafu hapangi vituo vya kazi lakini mshahara wanalipwa.
Kipilimba alishastaafu. Kwenye ubalozi hata wazee kina Dr. Mihogo bado wanatesa!! (Dr Slaa).Uteuzi wa mabalozi 23 una dalili zifuatazo
1. Yamkini kjna CDF mpya atateuliwa hivyo wale ambao wanasifa za kuwa CDF na wana vigezo lakini wamesha kosa huo uteuzi wamepewa ubalozi kuwaziba midomo kama JK alivyo fanya wakati wa utawala wake.
2. Kuondoa Magufuli Team kwenye mambo ya nje.
3. Mkuu wa usalama DR... Kipilimba anaweza rudishwa kwenye nafasi yake.
Ongeza swali.Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
Corona ikidhibitiwa vilivyo watapangiwa.Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
Huwezi kuwapangia kazi bila kufurusha vizee vilivyokwishaLeo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
..wameshapangiwa vituo hao ili bado serikali za nchi wanakokwenda hazijaridhia. binafsi sikuona sababu ya kutangaza sasa hivi. labda serikali ilikuwa inaogopa habari za uteuzi huo kuvuja ikaona itangaze mapema.
Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
Ilishawahi kutokea nchi yoyote duniani kumkataa balozi aliyeteuliwa kutoka Tanzania?
Ilishawahi kutokea nchi yoyote duniani kumkataa balozi aliyeteuliwa kutoka Tanzania?