Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

Kweli tupu
 
Umeandika rubbish
 
Tatizo kubwa ni katiba, ilitakiwa mawaziri wawe confirmed na bunge. Huenda Makamba asingeteuliwa au hata kama angeteuliwa asingepita kwenye "check" ya bunge.
Kwa Nchi yetu sawa na bure, tatizo lipo kwetu Wananchi.
 
Tatizo kubwa ni katiba, ilitakiwa mawaziri wawe confirmed na bunge. Huenda Makamba asingeteuliwa au hata kama angeteuliwa asingepita kwenye "check" ya bunge.
Bunge hili hili la chama kimoja ?
 
Badala ya makamba ulitaka nani awe waziri wa nishati?
 
Raid Samia amteue Mh. Mramba (katibu mkuu wa Nishati) kuwa Mbunge na awe Waziri wa Nishati.
 
Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake.
Please, thibitisha bila kuacha shaka yoyote kuhusu hili.
Kwani mtangulizi wa JM, alikuwa na ufahamu gani kuhusu sera na utawala ktk mambo ya nishati?
JM, alibadilisha watendaji wote wa juu wa Wizara gani?
Sina uhakika kama ukiwa kipanga darasani vilevile na uta perfom vizuri huku duniani.
Kwani ukiwa waziri wa wizara ya nishati lazima uwe mhandisi ?
Inaelekea hujitambui!
na mawaziri hata wa nishati au sayansi na teknolojia!
 
Zile amsha amsha za maendeleo za JPM zilikua balaa,kwa muda mchache alifanikiwa katika Mengi mno.
 
Kwani mtangulizi wa JM, alikuwa na ufahamu gani kuhusu sera na utawala ktk mambo ya nishati?

Prof. Muhongo? Wakati huo madini na nishati viliwekwa pamoja. Lakini kama nilivyosema, zile zilikuwa enzi tofauti.

JM, alibadilisha watendaji wote wa juu wa Wizara gani?

Nishati kutia ndani Tanesco

Sina uhakika kama ukiwa kipanga darasani vilevile na uta perfom vizuri huku duniani.

Angalau najua usipokuwa kipanga daraswani hutaperfom vizuri huku duniani, ndio maana haya mambo yanasomewa

Kwani ukiwa waziri wa wizara ya nishati lazima uwe mhandisi ?

Sijasema mhandisi, nimesema mtu mwenye utaalamu wa sera na utawala wa mambo ya nishati. Sio lazima awe mhandisi

Inaelekea hujitambui
Labda, lakini nakuzidi kujitambua nndio mana umekuja kwenye thread hii toka kule kwa Majuma amfumania wifi yake na mume wake
 
lakin kwa tz hili swala km la makamba sio round ya kwanz kufanyik tkea enzi za zaman yamefanyika ... kiufup tuyazoee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…