Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

Hapo kwenye mpasuko ndiko umeandika point na ndivyo ilivyo kwa dunia nzima hata kwa adui yako wewe.
 
Paul wa Tanzania amerudishwa kazini, Makonda ni mtu mwema sana.ni mzalendo pekee yake Aliye pambana na madawa ya kulevywa. Rais Samia umenikoshwa kura yangu Kwa Dr. Samia suluhu. Livelong Paul Makonda
 
Suala la bandari limeishane? Ujanja uliotumika kupoozesha mambo haitasaidia, mikataba iwekwe wazi mafao yaliyopo yaonekane, pia wameipitisha kwenye Baraza la mawaziri badala ya bungeni kinyume.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wao wamelenga usukuma, wanaamini wamewashika masikio wasukuma kwa doto na bashite. bila kiujua bashite ana mtobo kibao. chadema tumieni vizuri opportunity hiyo, hakuna asiyejua uovu wa makonda. kwanza Tundu lisu na tuhuma zake atakuwa anatamani arudi haraka toka marekani.aanze naye.
 
Huna ulichoandika hapa, humjui vzr Paulo Christian Makonda ama PCM, subiri aanze kazi utajua kama hujui

Huyo kazi iliyompa nguvu sana ni ule uhuru wa ushetani aliokuwa amepewa, wa kuua watu bila ya kusumbuliwa na yeyote. Aendelee na huo ushetani wa kuua watu, aone kama hautakuwa mwisho wake.
 
Na Samia kwa kumleta muuaji kwenye utawala wake, basi utawala wake ulaanike, na kupigwa na mapigo saba yatakayowakumbusha udhalimu wao.
 
Kinachojulikana ni kuwakazia mashoga kama ndio hilo asiende marekani abaki chamwino na lumumba inatosha!

Halikuwa suala la mashoga bali uuaji. Taarifa ile ilisema kuwa Makonda amekuwa akiwanyima watu haki ya kuishi.
 
Suala la bandari limeishane? Ujanja uliotumika kupoozesha mambo haitasaidia, mikataba iwekwe wazi mafao yaliyopo yaonekane, pia wameipitisha kwenye Baraza la mawaziri badala ya bungeni kinyume.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yan wakati TEC tayari wameunga mkono, hakuna kilichobaki,
Mana katika makundi yaliyokuwa yanaupinga TEC ndo walikuwa na nguvu, na hilo linafanya watu wengi kuamini sasa kuwa mkataba ni salama na mzuri,

CHADEMA hawana cha kufanya tena
 
CHADEMA inabidi wadeal na serikali, wakianza kudeal na Makonda badala ya serikali watakuwa wanapoteza muda, mana makonda hajarudishwa serikalini bali chamani,
Sawa na leo CHADEMA waanze kumshambulia Abdul Nondo
 
Safari ya makonda ni fupi Sana Kama route za daladala. Chongolo ambaye ni boss wake bado anayakumbuka Yale ya " kaa chini"! Unadhani atapewa ushirikiano unaotakiwa? Au chongolo anatafutiwa njia ya kuchomolewa ili kumpisha makonda?
 
Bado polepole yeye ndiye apewe kugombea urais 2025 over

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Bandari imeisha wapi wewe

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
CDM imezikwa rasmi!
Nani ktk wale wa kupambana na PCM? HAKUNAA.
Yule mwingine ni mfuata pesa tu Tz. Zikiishaa huyooo Ubeleji
 
Safari ya makonda ni fupi Sana Kama route za daladala. Chongolo ambaye ni boss wake bado anayakumbuka Yale ya " kaa chini"! Unadhani atapewa ushirikiano unaotakiwa? Au chongolo anatafutiwa njia ya kuchomolewa ili kumpisha makonda?
Yale majamaa wanajali ulaji, kwanza yanaishi kinafki usiyawekee dhamana kabisa inapofikia point ya kulinda ugali wao.
 
CDM imezikwa rasmi!
Nani ktk wale wa kupambana na PCM? HAKUNAA.
Yule mwingine ni mfuata pesa tu Tz. Zikiishaa huyooo Ubeleji
Bashite Hana ushawishi wowote wa hoja za Maana.
Nafasi ya Mwenezi anatakiwa Mtu Muongo na Mwenye akili, Mwenye Good Communication skills,na aliyeiva kwenye Propaganda
Bashite bila Polisi hana analoweza fanya
 
Bandari imeisha wapi wewe

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Sasa CHADEMA mtasemaje kuhusu huu mkataba wa bandari sasa 🥱 mlikuwa na point ya mkataba wa milele, imeonekana ni miaka 30,
Mkasema bandari.zote imekuwa magate manne tu,

Heb sema sasa
 
Hata Samia anawaza hivi hivi ndo sbb ya kumrudisha mwambie main stage ila mtoa mada Yuko sahihi, makamanda wamepewa ajenda tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…