Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

Tatizo ni Watanzania, huwa hawahitaji sana hoja zenye akili...

Wewe fikiria tu mtu kama Msukuma, Kibajaj na wengine wengi wenye kaliba ya hao ni wabunge, wanatunga sheria, wapo kamati za bunge, na ndio washauri wa serikali...

 
haya tangu hapo nini kilitokea watu hawakuendelea kufa!
Kufa kulikuwepo hafa kabla ya yeye kuanza kushiriki huo ushetani. Waatu waliendelea kufa wakati wa ushetani wake, na wameendelea kufa hata baada ya yeye kupumzishwa.

Kufa kusingekoma kwa sababu tu muuaji ameondolwa kwa sababu kufa kwa njia za kawaida, kama vile magonjwa na ajali kulikuwepo tangu kale.
 
Huyo kazi iliyompa nguvu sana ni ule uhuru wa ushetani aliokuwa amepewa, wa kuua watu bila ya kusumbuliwa na yeyote. Aendelee na huo ushetani wa kuua watu, aone kama hautakuwa mwisho wake.
Makonda amekaa benchi kwa muda mrefu tu mbona hakushitakiwa kwa mauaji unayoyapigia upatu, au hata kuyafichua vizuri yakaeleweka na watu..

SHAME!
 
Kuna uhusiano mkubwa sana wa kuteuliwa Kwa Makonda leo na kutiwa Saini mkataba wa DP world leo. Tukijadili Makonda waarabu wanaendelea kupewa urithi wetu. Hawa watu hawa Mungu awalaani na vizazi vyao na watakufa midomo wazi
 
Hata Samia anawaza hivi hivi ndo sbb ya kumrudisha mwambie main stage ila mtoa mada Yuko sahihi, makamanda wamepewa ajenda tayari.
Ajenda gani ? Ya kuteuliwa Makonda kuwa Katibu mwenezi wa CCM ? Basi hapo CHADEMA watakuwa wameprove ni chama cha wajinga sanaa 😂😂😂
 
Chadema hamna Chama pale zaid ya wapiga ramli
 
CCM wamejipiga Dole sasa ni fursa yetu Kuchakaza.😆
 
Kama Magufuli akishindana na Lowasa 2015, na Dola ikiwa upande wake alipata 58% ya kura zote pamoja na wingi wa watu wa Kanda ya ziwa.

2020 kama kweli Magufuli aliamini anazo nguvu za kutosha kanda ya ziwa, asingeharibu uchaguzi kwa makosa ya aibu ya wazi. Hivyo kuchukulia eti usukuma ni sababu ya kumpa uenezi Makonda ni sababu ya kipuuzi mno, Makonda hana ushawishi wowote bila msaada wa dola.

Ninachoamini bila mabadiliko kwenye mifumo ya chaguzi kwa maana ya tume ya uchaguzi na mahakama kuwa huru, kitu ambacho ccm wanajua vyombo hivyo vikiwa huru ni suala la muda wao kusahaulika.

Unamuweka mtu mwenye rekodi ya kutoheshimu sheria kisa unaogopa kushindwa uchaguzi,ni dhahiri CCM imefilisika pakubwa. Chama chenye kujiheshimu wangejitahidi kujiweka mbali na huyu,ni kweli wamekosea watu wenye kujiheshimu na wenye rekodi nzuri wameishia kwa huyu!!

Mbona,Ccm bado wanao uwezo wa kushinda kwa mfumo huu wa uchaguzi uliopo bila kujichafua kama walivyofanya, labda kama kweli watafanya mabadiliko kwenye hiyo ya uchaguzi na mahakama.
 
Sasa CHADEMA mtasemaje kuhusu huu mkataba wa bandari sasa 🥱 mlikuwa na point ya mkataba wa milele, imeonekana ni miaka 30,
Mkasema bandari.zote imekuwa magate manne tu,

Heb sema sasa
Huo mkataba mpya hauja fuata utaratibu wa bunge ni tofauti na ule uliopitishwa bunguni hivyo hapo tu tayari huo mkataba unakuwa ni feki

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Alipigwa marufuku kwenda marekani kwa sababu gani mkuu?
 
Huyo raia wa marekani hivi bado mna tumaini naye? Duuh acha nisikitike kwanza🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Kizazi hiki kina shida sana.

Samia aliwaacha huru kabisa kuongea kuhoji na kujadili chochote.shida ni pale watu wanapotumiwa a watu wajinga kuropoka, kutukana hadi wengine kufikia kumuoana Rais ni kiongozi asiefaa kabisa.

Sasa ameamua kujalibu kuweka watu vijana wanaoweza kwenda kama wanavyotaka hawa wanaoropoka ili mropokeane.

Watu wanaanza kulalamika na ketetemeka..!

Nyie mtulie, kama kuna ccm anaetumia wahuni kumtukana Rais kwa lengo la kumchafua kwa lengo la kutaka kujinufaisha binafsi au familia zao kwenye tamaa za madaraka, basi nakubaliana na CCM iendelee kuweka vijana imala wa kukabiliana na uhuni wa aina hii.
 
Paul wa Tanzania amerudishwa kazini, Makonda ni mtu mwema sana.ni mzalendo pekee yake Aliye pambana na madawa ya kulevywa.Rais Samia umenikoshwa kura yangu Kwa Dr.Samia suluhu. Livelong Paul makonda
Thibitisha! Au unafikiri kelele ndio kupambana!
 
Ahsante kwa taarifa, tutalifanyia kazi
 
Ngoja tuone
 
Mimi nadhani pia Makonda anatakiwa kuwa makini kuliko wakati mwingine wowote. Maana huenda wamebadili mbinu za ku deal na opponents wao, hatashughulikiwa kama Sabaya lakini hiyo nafasi inaweza ikawapa mwanya wabaya wake kumshughulikia kwahiyo anatakiwa kuwa mbele hatua kadhaa, asibweteke na hicho cheo kinaweza kumuondoa ktk ulimwengu wa siasa au ulimwengu wote kabisa.

Ni hayo tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…