Uteuzi wa mapema wa Prof. Kabudi, kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kujiaandaa kwa ajili ya kesi iliyofunguliwa huko ICC?

Lakini aliyefungua kesi ni Maria Sarungi.
Mwanaharakati Wa ACT wazalendo, waliouwawa ni wafuasi Wa ACT-Wazalendo.
Sijaelewa Hoja yako hapa kuishambulia CHADEMA.
 
Mkuu Mystery ukiwa na akili timamu kabisa unaamini tutashtakiwa ICC?!!.

Pole sana kwani hujaitazama Tanzania halisi na uhusiano wake na mataifa makubwa.
 
Maana yake kuna shida kwenye chungu la hela na Majirani kwahiyo hao wameteuliwa mapema ili wakasawazishe mambo haraka mabeberu yamekuwa moto
 
Mkuu Mystery ukiwa na akili timamu kabisa unaamini tutashtakiwa ICC?!!.

Pole sana kwani hujaitazama Tanzania halisi na uhusiano wake na mataifa makubwa.
Mkuu jiongeze kule hakuna tuta Kule ni atashitakiwa mtu hakuna jumla jamala
 
Aha papara mzee; uteuzi na muundo wa baraza la mawaziri ni matakwa ya Rais. Ataanza na nani na kuishia na yupi siyo juu yako. Kuna watu ambao wakati wa kampeini alikuwa anajua post zao na hivyo ataanza nazo, ya Majaliwa ilichelewa kwa vile inahitaji baraka ya bunge; hao wengine watakaofuata ama watakuwa wanabadilishiwa wizara au watakuwa hawakuwapo kwenye baraza liliopita.

Binafsi ninadhani Mwakyembe ama atakuwa balozi, au atapewa kuongoza taasisi moja kubwa sana ya umma; just my speculations!!
 
Unamaanisha act na maria ndio wamefungua kesi bado lissu na robert wao hawajafungua kesi zao bensouda atapata tabu sana maana kesi 4 zote zinalenga pahala pamoja its not a joke palamagamba, palamaganba je atawashinda wanafunzi wake je amejiandaaje? Binafsi naona tabu sana all the best to all at this competitions nadhani hapa tutampata professor wa kweli na ni kipimo cha uprofessor
 
Bibi yako alimzaa Baba yako akiwa mahali hapa hapa panaponuka.

Sijui kama unafahamu maana ya maneno uliyoyaandika.
Kwahiyo my folks kuzaliwa hapa ndio kunaifanya nchi hii isiwe ya hovyo? Ukweli lazima niuseme: Mimi na wazazi wangu, Wewe na wazazi wako tumezaliwa kwenye li nchi la hovyo mno.
 
Mkuu Mystery ukiwa na akili timamu kabisa unaamini tutashtakiwa ICC?!!.

Pole sana kwani hujaitazama Tanzania halisi na uhusiano wake na mataifa makubwa
Hivi unadhani mahakama ya ICC nayo inapokea maagizo toka kwa Jiwe?

Kule kinachozingatiwa ni "facts" tu zinazotokana na ushahidi unaopelekwa.

Kama wakipata ushahidi wa kutosha kuwa kuna wananchi wasio na hatia wamepoteza maisha kutokana na Polisi kutumia vibaya silaha tulizowakabidhi, basi ujue kuwa Jiwe na wapambe wake ni lazima watapandishwa kizimbani!
 
Kwahiyo my folks kuzaliwa hapa ndo kunaifanya nchi hii isiwe ya hovyo? Ukweli lazima niuseme:Mimi na wazazi wangu, Wewe na wazazi wako;tumezaliwa kwenye li nchi la hovyo mno.
Haina cha kufanya kuibadilisha hivyo kuwa mpole wakati wengine wakijaribu kadri wanavyoweza kuleta mabadiliko makubwa ya kiuchumi.
Kazi ya kutukana ni nyepesi sana hata watoto wa sekondari wanaiweza.
 
Porojo tu kama nyinginezo. Sijui unaelewa maana ya kitendo cha rais kukabidhiwa cheti cha ushindi mbele ya wagombea wengine tisa.

Wakishamuwepo wagombea wengine wakaubariki hadharani uchaguzi maana yake hayo masuala ya watu kupigwa risasi yanachukuliwa kama ni udhaifu wa kibinadamu.

Na kule US Trump na Biden watapelekwa ICC ukizingatia vurugu zimetokea na ni kubwa?.

Acheni kuwa na mawazo ya kitumwa.
 
Ndiyo maana katika "ramli" yangu nimeona kuna uwezekano mkubwa ameteuliwa waziri wa mambo ya nje, ili akajitahidi kwenda izima kesi iliyofungiliwa huko ICC na chama cha ACT Wazalendo na mwanaharakati Maria Sarungi..
Kesi za ICC zinadeal na individuals na sio Nchi. So, hiyo kesi ya ICC labda washtakiwa watakuwa ni Magu, Mwinyi, Mahera, Sirro, Mambosasa etc. Kabudi hana msaada nao na hawezi kunusa pua yake pale eti kwenda kuzima

Lakini ICC wahakurupuki pia. Kesi inabidi kukidhi vigezo vyao flaniflani kabla hawajaamua kuipursue
 
"Ndio maana nimechagua Waziri wa mambo ya nje mapema..haiwezekani watu wanasemasema tu huko nasi hatuna wakutusemea"

ULIKUWA SAHIHI MKUU.. ni katika kuikabili mipango mbalimbali ya 'wapinzani' nje ya nchi.
 
Huyo anafikiri mahakama ya ICC ni kama za hapa nchini ambapo mtu wa ccm anampigia judge au hakimu simu kuwa usimpe dhamana au mfunge huyo na inafanyika hivyo, wapate historia siku Magufuli alimuandikia waziri mkuu wa Canada eti awasaidie atumie cheo chake ndege iachiwe irudi tanzania baada ya kukamatwa na wadeni aseme waziri mkuu wa canada alimjibuje magufuli, bado tu hawaja jifunza
 
Wapuuuzi nyie hamjui hata mahakama hiyo inashughulikia kesi za aina gani mnakurupuka tu,
Tuliza wenge wewe unavyosikia uhalifu wa kivita unadhani vita kama za burundi na kina interahamwe ,M23?? Kuna uhalifu wa kibinadamu,kunyima uhuru wa kuishi etc CCM tatizo mmejaa "MAZWAZWA" aka ZERO BRAIN aka WACHUMIA TUMBO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…