CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Lakini aliyefungua kesi ni Maria Sarungi.Hivi BAVICHA mmeshindwa kabisa kujiongeza, au akili imewaruka wote kama mgombea wenu. Mnatumaini kabisa kuwa kuna watu watapelekwa ICC?? Kweli?? Mmebuma na Amsterdam wenu. Kwanza Lissu wakati wa kampeni alisema hatakubali kushindwa, baada ya matokeo kwa kukataliwa na wananchi akahamasisha maandamano, hakuna mwananchi aliyemuunga mkono hata mmoja, baada ya hapo akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani kwa kutunga uongo eti anatishiwa usalama wake kumbe anatafuta namna ya kurudi kwa mabeberu. Sasa hivi anaomba maridhiano. Endeleeni na ndoto, mlishaambiwa CHADEMA itakufa, mkakataa. Sasa imetia, kifo cha mende, mlalo wa chali
Mwanaharakati Wa ACT wazalendo, waliouwawa ni wafuasi Wa ACT-Wazalendo.
Sijaelewa Hoja yako hapa kuishambulia CHADEMA.