Uteuzi wa mapema wa Prof. Kabudi, kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kujiaandaa kwa ajili ya kesi iliyofunguliwa huko ICC?

"Ndio maana nimechagua Waziri wa mambo ya nje mapema..haiwezekani watu wanasemasema tu huko nasi hatuna wakutusemea"

ULIKUWA SAHIHI MKUU.. ni katika kuikabili mipango mbalimbali ya 'wapinzani' nje ya nchi.
Mzee23
Kumbe "ramli" yangu ilikuwa sahihi kwa asilimia 100?
 
Kwahiyo, Waziri wa mambo ya nje ndiyo mwanasheria wa Serikali?
 
Ni wakati muhafaka tuanze kufanya mambo kwa tofauti,
Kuna umuhimu gani kuwa na vyeo hivi,
Wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,
Mawaziri,?vyeo vya muhimu ni makatibu wakuu wa wizara,makatibu tawala wa mikoa,wilaya,hakuna haja ya kuwa na mkurugenzi wa jiji,na katibu tawala wa mkoa,hivi vyeo havifai kuwepo kila mkoa,sasa mikoa maskini Kama Tabora,Singida,Katavi,unaweka mkurugenzi wa manispaa,na katibu tawala,na mkuu wa mkoa.
 
Tuliza wenge wewe unavyosikia uhalifu wa kivita unadhani vita kama za burundi na kina interahamwe ,M23?? Kuna uhalifu wa kibinadamu,kunyima uhuru wa kuishi etc CCM tatizo mmejaa "MAZWAZWA" aka ZERO BRAIN aka WACHUMIA TUMBO.
Niambie hata mtu mmoja aliyefikishwa ICC kwa kunyima watu uhuru. Hata mkataba wa rome ulioanzisha mahakama hiyoo huujui unakaa kujaza wenzako ujinga tu.
Mediocrity at its best.
 
Kumbe teuzi bado?Ndio maana Lameck Madelu anatukana Sana watu huko fb Kumbe anafukuzia teuzi?
 
UVCCM hawataki kusikia kibaya chochote kikielekezwa kwa baba yao.

Navyojua mimi UVCCM ndiyo walitakiwa kuwa kinu cha udadisi cha Taifa...kuhoji Why this? How?...Why now? etc

Sasa kila jambo liwe baya ama zuri wao kubariki tu!! Yaani ni kusifu na kuabudu mwanzo mwisho.
Nchi ikishakuwa na vijana wa Yes Yes basi hesabu hilo Taifa linakoelekea ni kibaya!!

Sasa sijajua na hili la kesi ya ICC kama itapitishwa; Je watamzuia baba yao asiende ama watakwenda naye... ni suala la muda tu upepo ukishapuliza basi kila kitu kitakuwa wazi.
 
Niambie hata mtu mmoja aliyefikishwa ICC kwa kunyima watu uhuru. Hata mkataba wa rome ulioanzisha mahakama hiyoo huujui unakaa kujaza wenzako ujinga tu.
Mediocrity at its best.
Google wewe utapata watu kibao waliofikishwa ICC tena kwa makosa madogo tu sio kama ya kwetu ambayo ni MAKUBWA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…