Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo, Waziri wa mambo ya nje ndiyo mwanasheria wa Serikali?Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye.
Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza, akimaliza karibu miezi miwili bila kuteua waziri yeyote!
Sasa nimekuwa nikijiuliza, kulikoni safari hii ateue mawaziri wawili "faster" ndani ya wiki moja, tokea Tume ya Taifa ya uchaguzi imtangaze kuwa ndiye aliyeshinda nafasi ya urais baada ya uchaguzi mkuu, ambao umelalamikiwa sana na vyama vya upinzani kuwa ulivurugwa?
Nimgependa kujua nini mantiki ya Rais Magufuli kuwateua mawaziri wawili pekee, wakati wizara nyingine pia zikihitaji sana huduma ya mawaziri?
Ndipo hapo ninapojiuliza hivi kuna shguhuli gani za dharura zinazohitaji kuwa ni lazima waziri wa mambo ya nchi za nje, kuwa ni lazima ateuliwe sasa?
Ndiyo maana katika "ramli" yangu nimeona kuna uwezekano mkubwa ameteuliwa waziri wa mambo ya nje, ili akajitahidi kwenda izima kesi iliyofungiliwa huko ICC na chama cha ACT Wazalendo na mwanaharakati Maria Sarungi, ambapo nchi yetu imeshtakiwa kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, nyakati za uchaguzi mkuu, ambao hadi imepelekea kuuliwa kwa wananchi kadhaa wasio na hatia.
Ni wakati muhafaka tuanze kufanya mambo kwa tofauti,Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye.
Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza, akimaliza karibu miezi miwili bila kuteua waziri yeyote!
Sasa nimekuwa nikijiuliza, kulikoni safari hii ateue mawaziri wawili "faster" ndani ya wiki moja, tokea Tume ya Taifa ya uchaguzi imtangaze kuwa ndiye aliyeshinda nafasi ya urais baada ya uchaguzi mkuu, ambao umelalamikiwa sana na vyama vya upinzani kuwa ulivurugwa?
Nimgependa kujua nini mantiki ya Rais Magufuli kuwateua mawaziri wawili pekee, wakati wizara nyingine pia zikihitaji sana huduma ya mawaziri?
Ndipo hapo ninapojiuliza hivi kuna shguhuli gani za dharura zinazohitaji kuwa ni lazima waziri wa mambo ya nchi za nje, kuwa ni lazima ateuliwe sasa?
Ndiyo maana katika "ramli" yangu nimeona kuna uwezekano mkubwa ameteuliwa waziri wa mambo ya nje, ili akajitahidi kwenda izima kesi iliyofungiliwa huko ICC na chama cha ACT Wazalendo na mwanaharakati Maria Sarungi, ambapo nchi yetu imeshtakiwa kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, nyakati za uchaguzi mkuu, ambao hadi imepelekea kuuliwa kwa wananchi kadhaa wasio na hatia.
Niambie hata mtu mmoja aliyefikishwa ICC kwa kunyima watu uhuru. Hata mkataba wa rome ulioanzisha mahakama hiyoo huujui unakaa kujaza wenzako ujinga tu.Tuliza wenge wewe unavyosikia uhalifu wa kivita unadhani vita kama za burundi na kina interahamwe ,M23?? Kuna uhalifu wa kibinadamu,kunyima uhuru wa kuishi etc CCM tatizo mmejaa "MAZWAZWA" aka ZERO BRAIN aka WACHUMIA TUMBO.
Mnafuata njia ya Hittler ya kutawala.Mnajitekenya bureee! Hafungwi mtu hapa, muda huu mngekuwa mnajipanga kujenga Chama nyie kaguu na njia kwa Wazungu, kuja kushituka 2025 tunawapiga spana tena
Google wewe utapata watu kibao waliofikishwa ICC tena kwa makosa madogo tu sio kama ya kwetu ambayo ni MAKUBWA SANA.Niambie hata mtu mmoja aliyefikishwa ICC kwa kunyima watu uhuru. Hata mkataba wa rome ulioanzisha mahakama hiyoo huujui unakaa kujaza wenzako ujinga tu.
Mediocrity at its best.