Uteuzi wa mapema wa Prof. Kabudi, kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kujiaandaa kwa ajili ya kesi iliyofunguliwa huko ICC?

Hivi BAVICHA mmeshindwa kabisa kujiongeza, au akili imewaruka wote kama mgombea wenu. Mnatumaini kabisa kuwa kuna watu watapelekwa ICC?? Kweli?? Mmebuma na Amsterdam wenu. Kwanza Lissu wakati wa kampeni alisema hatakubali kushindwa, baada ya matokeo kwa kukataliwa na wananchi akahamasisha maandamano, hakuna mwananchi aliyemuunga mkono hata mmoja, baada ya hapo akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani kwa kutunga uongo eti anatishiwa usalama wake kumbe anatafuta namna ya kurudi kwa mabeberu. Sasa hivi anaomba maridhiano. Endeleeni na ndoto, mlishaambiwa CHADEMA itakufa, mkakataa. Sasa imetia, kifo cha mende, mlalo wa chali
Wameshakiri kupokea barua, kama bado huamini Hilo sio tatizo letu. Na pia kama uchaguzi ulikuwa WA haki walalamishi wataumbuka.
 
Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye.

Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza, akimaliza karibu miezi miwili bila kuteua waziri yeyote!

Sasa nimekuwa nikijiuliza, kulikoni safari hii ateue mawaziri wawili "faster" ndani ya wiki moja, tokea Tume ya Taifa ya uchaguzi imtangaze kuwa ndiye aliyeshinda nafasi ya urais baada ya uchaguzi mkuu, ambao umelalamikiwa sana na vyama vya upinzani kuwa ulivurugwa?

Nimgependa kujua nini mantiki ya Rais Magufuli kuwateua mawaziri wawili pekee, wakati wizara nyingine pia zikihitaji sana huduma ya mawaziri?

Ndipo hapo ninapojiuliza hivi kuna shguhuli gani za dharura zinazohitaji kuwa ni lazima waziri wa mambo ya nchi za nje, kuwa ni lazima ateuliwe sasa?

Ndiyo maana katika "ramli" yangu nimeona kuna uwezekano mkubwa ameteuliwa waziri wa mambo ya nje, ili akajitahidi kwenda izima kesi iliyofungiliwa huko ICC na chama cha ACT Wazalendo na mwanaharakati Maria Sarungi, ambapo nchi yetu imeshtakiwa kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, nyakati za uchaguzi mkuu, ambao hadi imepelekea kuuliwa kwa wananchi kadhaa wasio na hatia.
Unajilisha upepo na kuidanganya nafsi yako kwa kitu unachojua kabisa hakipo. Jitathmini
 
Mkishashindwa uchaguzi mnageuka wapiga ramli na wambea.
 
Katiba imesiginwa kwa nguvu zote. Baraza la mawaziri huteuliwa baada ya waziri mkuu kuapishwa.Baraza la Mawaziri mhimili wake ni waziri mkuu. Uteuzi wa baraza la Mawaziri sharti ufanywe na Rais wakisaidiana na waziri Mkuu ambaye hawi waziri mkuu hadi aapishwe na Rais. Kwa hiki kilichofanyika ni kwamba Waziri mkuu si kitutena, Katiba imevunjwa waziwazi. Waziri Mkuu akijiuzulu au kufutwa kazi maana yake Baraza la mawaziri linavunjika hapo hapo.

Kwetu sasa waziri mkuu si chochote. Ni kukiuka na kuvunja katiba waziwazi. Halafu huku ni kuweka madaraja miongoni mwa mawaziri. Inaonekana hawa wawili ndio muhimu na wa kipekee kuliko wengine.

Hii siyo picha nzuri. Mawaziri wote ni sawa mbele ya Katiba. Tunaoneka wote nchini ni wahovyo kabisa.
 
Nachopende ICC usiri na ukusanyaji ushahidi..... Yaan unatunzwa na kukusanya by any cost...
Pompeo alitonya kidogo pale alipo mbani kijana wa Kolomije na wenzake kukanyaga USA RIVA Hilo pia liangalieni kwa umakini hiyo Usariva aliyo baniwa siyo inayo ongozwa na J wa muro (take care)
 
Uteuzi wamapema haujakaa vizuri kiprotoko kwa heshima ya Waziri Mkuu kwa rejea kisheria katiba inavyo tamka ataapishwa pm kwanza ndipo washauriane kuunda baraza la mawaziri.

Kama alivyofanya kwa kulipeleka jina la pm bungeni kupitishwa na bunge.

Akili kidogo imeshindikana nini? Subira huvuta heri
 
Katiba imesiginwa kwa nguvu zote. Baraza la mawaziri huteuliwa baada ya waziri mkuu kuapishwa.Baraza la Mawaziri mhimili wake ni waziri mkuu. Uteuzi wa baraza la Mawaziri sharti ufanywe na Rais wakisaidiana na waziri Mkuu ambaye hawi waziri mkuu hadi aapishwe na Rais. Kwa hiki kilichofanyika ni kwamba Waziri mkuu si kitutena, Katiba imevunjwa waziwazi. Waziri Mkuu akijiuzulu au kufutwa kazi maana yake Baraza la mawaziri linavunjika hapo hapo. Kwetu sasa waziri mkuu si chochote. Ni kukiuka na kuvunja katiba waziwazi. Halafu huku ni kuweka madaraja miongoni mwa mawaziri. Inaonekana hawa wawili ndio muhimu na wa kipekee kuliko wengine. Hii siyo picha nzuri. Mawaziri wote ni sawa mbele ya Katiba. Tunaoneka wote nchini ni wahovyo kabisa.
Huyu Jiwe ni kawaida yake kuisigina Katiba ya nchi waziwazi kabisa!

Kama alivyofanya katika hili la uteuzi wa mawaziri wawili pekee, kati ya mawaziri zaidi ya 20 wanaohitajika katika Baraza la mawaziri
 
Chandimu mnajitekenya bureee! Hafungwi mtu hapa, muda huu mngekuwa mnajipanga kujenga Chama nyie kaguu na njia kwa Wazungu, kuja kushituka 2025 tunawapiga spana tena
Nyinyi mnajivunia kwa kuwa mnatumia dola kubaki madarakani.

Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally
 
Yani apo wale mawaziri waliobaki wajiandae kutorudi tena. Hawa wengine nafasi yao ilikuwa imeandaliwa hata kabla ya uchaguzi.

Kumbuka Philip Mpango na mwenzie waliingia kama viti maalumu. Maelekezo yakatoka wagombee majimbo na wakapita bila kupingwa. Na yeyote aliyejaribu kupinga anakiona cha moto hivi sasa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tukisema mmekunywa mnapaniki.
 
Yani apo wale mawazir waliobaki wajiandaye kutorudi tena. Hawa wengine nafasi yao ilikuwa imeandaliwa hata kabla ya uchaguzi.

Kumbuka filpo mipango na mwenzie waliingia kama viti maalumu. Marlekezo yakatoka wagombee majimbo na wakapita bila kupingwa. Na yeyote aliyejaribu kupinga anakiona cha moto hivi sasa.
Yaani hapo ndiyo ujue kuwa huyu mtu hapendi kabisa kufuata sheria na kanuni za kazi

Katiba ya nchi anaisigina waziwazi

Badala yake anataka kutumia ubabe wake kwa kila kitu akifanyacho
 
Back
Top Bottom