Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

TISS na Jeshi hawawezi kuukwamua uchumi wetu, hakuna maendeleo yoyote duniani ya kiuchumi yamepatikana kwa njia hii.
Huo wizi ulioiutaja hapa hauhusiani na uchumi. Maendeleo ya uchumi yanahitaji uongozi na mfumo mzuri wa kisiasa pamoja wachumi nguli wanaopewa uhuru kutimiza majukumu yao.
Ukiangalia mataifa yote, Usalama wa Taifa una play part kubwa sana kwenye uchumi wa nchi bila wao ni kazi bure
Screenshot_20230103_221945_Chrome.jpg
 
Tanzania iwe na shirika la Ujasusi linaloangalia siasa kama njia tu, na sio msingi imara wa kulinda TAIFA, wanausalama watakao kuwa makini kuona kofia ya siasa haizidi kofia ya nguvu ya umma au TAIFA. Ni wakati mwafaka wa kutambua NCHI ndio nguzo ya UTAIFA na sio siasa kuwa ndio UTAIFA wenyewe.
Nondo
 
TISS na Jeshi hawawezi kuukwamua uchumi wetu, hakuna maendeleo yoyote duniani ya kiuchumi yamepatikana kwa njia hii.
Huo wizi ulioiutaja hapa hauhusiani na uchumi. Maendeleo ya uchumi yanahitaji uongozi na mfumo mzuri wa kisiasa pamoja wachumi nguli wanaopewa uhuru kutimiza majukumu yao.
Sasa mbona akina Mwigulu pia ni wasomi nguli tunakwama wapi?
 
Basically TISS isingekuwa na maana kama haitakiwi kufanya kazi fulani maana kila kazi ina wizara. Ulinzi na usalama si zina wizara zake, mambo ya ndani na ile ya ulinzi. TISS kamilifu inatakiwa iweze kusaidia popote pale, hata kampuni ya hapa nchini ikitaka kutengeneza pikipiki ikakwama kutengeneza injini, TISS inabidi iwe na uwezo wa kupata wapi la kupata ujuzi wa kutengeneza injini kwa namna yoyote ile. Ndio vitu duniani wanafanya, China mara nyingi tu unasikia wameiba TB za data kuhusu kitu fulani. Survival of the fittest
Nimeichukua hii point
 
Lakini kabla ya yote, mimi niliwahi kuandika humu, tanzania hatutaweza kuwa na demokrasia kamili kama tusipo tegua kitendawili cha muungano.

Kwasasa, namna pekee ya kuhakikisha uhai wa Muungano na uhai wa taifa upo, ni lazima chama kinachoshika uongozi wa JMT pia kishike na Zanzibar.

Hata wanausalama wakiwa wapenda demokrasia kwa namna gani, hawawezi kuruhusu hilo serikali ya Mapinduzi iwe chama tofauti na serikali ya JMT.

Wakati wa Mwinyi kipindi kile cha mchafuko wa hali ya hewa, ilibidi nguvu ya ziada kutoka kwa mwalimu akisaidiwa na wazalendo kunusuru uhai wa taifa. Imagine kama rais wa Zanzibar wa kipindi kile angekuwa wa chama kingine, ingebidi yajirudie yaleyale ya hayati naliliu... yule babu yake na yule mwanasheria maarufu, Jambo ambalo ni risk kubwa kwani linaweza kupasua taifa kabisa.

Natumaini huyo boss mpya atamshauri vizuri Mheshimiwa kwenye umuhimu wa katiba mpya na kuhakikisha inaulinda muungano.
Kwani kenya wanapopigana na alshabaab wewe huwa unaathirika na nini? Why are you concerned na mambo ya nchi nyingine kiasi uyabebe kama ya kwako?
 
Alichoandika sio kazi kuu ya usalama wa taifa, ila ni kazi mojawapo. Mambo mengine yanafanyika, ulinzi na usalama wanafanya bado ujasusi wa kiuchumi.
Hao unaosema BoT na Finance hawawezi kufanya crandestine operations.

Wasovieti walioiba blueprints za atomic bomb kutoka Los Alamos pale Marekani sio wanasayansi wala watumishi wa jeshi, serikali ya Stalin ingeamua kusubiri jopo la wanasayansi lifanye testing na kila kitu wangetumia gharama kubwa mno na muda mwingi zaidi kupata breakthrough.

Wamarekani walioiba Lunik ya USSR ikiwa kwenye world tour hawakuwa wanasayansi wa NASA, walipiga picha na kukamilisha kazi yao kisha NASA wakatumia hizo taarifa.

Basically TISS isingekuwa na maana kama haitakiwi kufanya kazi fulani maana kila kazi ina wizara. Ulinzi na usalama si zina wizara zake, mambo ya ndani na ile ya ulinzi. TISS kamilifu inatakiwa iweze kusaidia popote pale, hata kampuni ya hapa nchini ikitaka kutengeneza pikipiki ikakwama kutengeneza injini, TISS inabidi iwe na uwezo wa kupata wapi la kupata ujuzi wa kutengeneza injini kwa namna yoyote ile. Ndio vitu duniani wanafanya, China mara nyingi tu unasikia wameiba TB za data kuhusu kitu fulani. Survival of the fittest
Ukimaanisha taasisi izi isiyo na nidhamu .punguza kuongelea TISS kwa référence ya movie na story za vijiweni
 
Kamanda usalama wa taifa walishakua usalama wa CCM tuna kazi ya kufanya hapa Ili kuondoa uvundo huu Leo hii usalama wa taifa anashiliki kuisaidia CCM kuiba matokeo ambayo wananchi ndio wameamua kumbuka uchaguzi wa 2010 na 2015 bila wao leo hii CCM ingekua ishabaki history
 
Back
Top Bottom