Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

Ukiangalia mataifa yote, Usalama wa Taifa una play part kubwa sana kwenye uchumi wa nchi bila wao ni kazi bure
 
Nondo
 
Sasa mbona akina Mwigulu pia ni wasomi nguli tunakwama wapi?
 
Nimeichukua hii point
 
Kwani kenya wanapopigana na alshabaab wewe huwa unaathirika na nini? Why are you concerned na mambo ya nchi nyingine kiasi uyabebe kama ya kwako?
 
Ukimaanisha taasisi izi isiyo na nidhamu .punguza kuongelea TISS kwa référence ya movie na story za vijiweni
 
Kamanda usalama wa taifa walishakua usalama wa CCM tuna kazi ya kufanya hapa Ili kuondoa uvundo huu Leo hii usalama wa taifa anashiliki kuisaidia CCM kuiba matokeo ambayo wananchi ndio wameamua kumbuka uchaguzi wa 2010 na 2015 bila wao leo hii CCM ingekua ishabaki history
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…