Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

hivi Tanzania tuna usalama wa taifa au tuna usalama wa ccm na viongozi wake mafisadi?
 
Jitokeze tena kumsifia aliyeteuliwa kwa kulingana na unafiki wako yeriko sijui utawaambia nini Watanzania wakuelewe kwa kufuata mihemko ya urafiki wa mitaani na kutaka kuwaaminisha wananchi kile kinachochopaswa kuaminiwa.
Jifunze kutosifia ubora wa maji kabla hujayaoga!!!
 
Madini,,,,,,,,,
Leo kapigwa chini. Mama kachafukwa. Muda mfupi madaraka amebadili mkurugenzi wa tatu sasa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 

Hivi unadhani na yeye hana kadi ya CCM ?
 
Mulamula naye alisifiwa humu enzi zile amelamba teuzi.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…