Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu ZBC watenguliwa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC), Dkt. Saleh Yussuf Mnemo leo Januari 03, 2022

Dkt. Mnemo aliteuliwa kuhudumu nafasi hiyo Mwezi Mei 2021

165E24B2-420C-42DC-A32B-C7D60AC2812D.jpeg
 
Rais Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC), Dkt. Saleh Yussuf Mnemo leo Januari 03, 2022

Dkt. Mnemo aliteuliwa kuhudumu nafasi hiyo Mwezi Mei 2021

View attachment 2067115
Niliwai kutoa ushauli humu JF kwamba cheo kinachotakiwa kuonekana chini ya barua iwe KATIBU MKUU KIONGOZI na sio Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.

Inatakiwa iandikwe Katibu Mkuu Kingozi, kwasababu by virtual ya nafasi yake kama Katibu Mkuu Kiongozi already ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi.

Ni sawasawa na huku Bara, Katibu Mkuu Kingozi H. Katanga already anakuwa ni Katibu wa Baraza la Mawaziri lakini huwezi kukuta kasaini barua kuwa Katibu wa Baraza la Mawaziri na Katibu Mkuu Kiongozi 😆😆😆

Hebu turekebishe hapo!!
 
Siku hizi watu wanapenda sana titles na Ubosile......!!
 
Back
Top Bottom