fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hapana mnemo ni mzanzibari ila uwezo wake ni mdogo sanaBig yes
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mnemo ni mzanzibari ila uwezo wake ni mdogo sanaBig yes
Si PhD huyo uwezo mdogo kivipi? au hakuna vetting iliyofanyika?Hapana mnemo ni mzanzibari ila uwezo wake ni mdogo sana
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
PHD hata Jafo anayoSi PhD huyo uwezo mdogo kivipi? au hakuna vetting iliyofanyika?
Kwamba wataka ligi hata kwa hili. Tumalize kwa kusema ndio ni mzenji (kwa mawazo y'ako)sasa kama unakubali kuwa Dingi wake kaoa kule na yeye ndio kazaliwa unasemaje kuwa si mzenj?
Unadhani huku mnaraisi Basi...Raisi wa kuambiwa anasema ndio..ya TBC yaliishia wapi na mkurugenzi na tenda?
Mimi pia nimewaza juu ya Uzi uliowekwa hapa jf, ile id iliyoleta taarifa hizo nyeti ni ya Charles hahaha!Kuna bandiko niliona hapa jf kweli mitandao ina nguvu
Uzi upi huo mkuuMimi pia nimewaza juu ya Uzi uliowekwa hapa jf, ile id iliyoleta taarifa hizo nyeti ni ya Charles hahaha!
Uzi upi huo mkuu
Karibu kila mwanaCCM ana PhD hata MsukumaPHD hata Jafo anayo
Uki soma ile thread ilikuwa imejaa uhalisia, lilikuwa ni suala la muda tuNi kweli huenda lile bandiko limemfikia japo tulilichukulia kimzahamzaha
Uzi upi huo mkuu