Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu ZBC watenguliwa

Hilary, utangazaji anaumudu sana, hata kazi ya ikulu ataimudu. Big up Hilary!
 
Kama huku anavyoandika, "Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali"
 
Charles Hilary Mzanzibari?
Ni Mzanzibari aliyehamia bara miaka mingi, Zanzibar ina makabila mengi kutoka bara kama raisi wao,mzaramo,kuna wanyamwezi,Wangoni,wanyakyusa, ni ubishi tu hawa wazdnj ni mkoa tu wa Tanganyika,ukiacha waarabu waliotoka China na baadhi ya wangazija (siwasemi sana wahaindi sababu wao ni kama kunguru,popote ni kwao)
 
Sio mzenji bhana, sema dingi yake amewahi hudumu Kule na kaoa Kule
 

..baraza la wawakilishi.

..baraza la mawaziri.

..baraza la mapinduzi.

..Zanzibar wako tofauti kidogo na Tanganyika.
 
Hussein mpaka muda wake unaisha atakuwa anateua na kutengua tu huyu mtalii hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…