Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata kwenye ujumbe wa kamati ya usalama barabarani mimi bado sijaonekana!! Duh !! Kweli ina wenyewe !! Karma !Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
View attachment 2345690View attachment 2345691
Wakikujibu pls ni tag namiJukumu lao litakua kusimamia nini.
Huyu aliwahi kutuhumiwa live na Mwendazake, kwamba ni mtu wa kuhozi nafasi na kuwapa anaowataka yeye, je hii tabia aliiacha ama?Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
View attachment 2345690View attachment 2345691
Wameacha kuja na mwarobaini wa ajari za kila siku barabaran wanakuja na wajumbe kweli Tozo on fire acha wale tu.Jukumu lao litakua kusimamia nini.
Ushungi anaamini 'John Mbatizaji' alikuwa na chuki zenye mlengo wa kidini na 'mawazo' dhidi ya watu. Ndiyo maana yeye 'ushungi' amewarudisha baadhi na kuteua wenye 'vibaraghashia' kwa wingi.Huyu aliwahi kutuhumiwa live na Mwendazake, kwamba ni mtu wa kuhozi nafasi na kuwapa anaowataka yeye, je hii tabia aliiacha ama?
Labda na wawo watakuwa wanakaa RoadJukumu lao litakua kusimamia nini.
Kula tozoJukumu lao litakua kusimamia nini.
Jukumu lao litakua kusimamia nini.
Majibu kashapewa mkuu NkaniniWakikujibu pls ni tag nami
Ndio ila hayo majibu hapo juu ,ngoja niangalie game ya Man Uuuuuu kwanzaMajibu kashapewa mkuu Nkanini
Majibu ya Kibuwa hayo mkuuMajibu ya Kitoto.
Ukaguzi wa Mabasi ya Mkoani, Magufuli Terminal!!Jukumu lao litakua kusimamia nini.