Uteuzi wa wazee! Tumechokaaa!

Uteuzi wa wazee! Tumechokaaa!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Kila leo kenyatta anateua wazee katika nyadhfa mbali mbali na kuwaacha vijana wanasota kitaa na vyeti vyao...teuzi ya hivi majuzi ndani ya wizara ya vijana na michezo imeetuudhi sana!!! Ebooo! Ameteua vice wa mzee kibaki jamani ndani ya sports fund!
Tumechokaàaa
..
 
Vijana wa keshooo! Mzee raila amol00!
FB_IMG_1544206617587.jpg
 
Mzee kenyatta wa pilii![emoji29]
FB_IMG_1544206639163.jpg
 
Waziri wa mambo ya kigeni...yaani foreign affairs ....kalonzo mzee wa tikiti majii![emoji16]
FB_IMG_1544206642132.jpg
 
Tulia tuimbe ule wimbo kwanza.

Tumipenda wenyeweee ndandaaa
Ccm ni ile ile oooooh ni ile ileeee
 
Mzee wa kazi musalia mudavadii[emoji208] [emoji274]
FB_IMG_1544206644954.jpg
 
Bila kumsahau wetangulaaa![emoji116]
FB_IMG_1544206647865.jpg
 
Mzee keter tunakuaminiaaa!!!
FB_IMG_1544206657716.jpg
 
Msikari kombo ..ng'ombe ww! Mkiwa na huyu jamaa wa westlands[emoji16] [emoji91]
FB_IMG_1544206702662.jpg
FB_IMG_1544206705454.jpg
 
Hehehehe haya mapicha umeyatoa wapi, aki ya nani yanachekesha, ila kwa kweli rais Uhuru kwa hili amepinda kishenzi tena ile noma, imenishinda kumeza kipi mzee wa miaka 91 ataleta kwenye masuala ya michezo. Yaani kama kuna watu wa ikulu wanaopitiaga kwenye mitandao, wasome comments na kuona jinsi imekera.
Vijana mtasubiri sana kwenye nchi hii.....
 
Line up ya kenyatta jamani! Mzeee abdouba dida!!?
FB_IMG_1544206733021.jpg
 
Murkomeno kijana wa keshoo..
FB_IMG_1544206719821.jpg
 
Back
Top Bottom