Mkuu,asini sahau na mie!
Niku uku Unyirambani,nataka nifanye kazi na Wanyiramba Tuyafutilie Mbali Matembe na Kama Yakibaki Yabaki Kama Historia na Ukumbusho Wetu!
Naihitaji Hiyo Nafasi ili Nishirikiane na Baraza la Madiwani Tuweze Kumaliza Kadhia ya Usafiri Mfano Uku Kata ya Tulya,tuna changamoto ya barabara,barabara yote ya kutoka Shelui,ni nzuri mpaka Mgongo,ila kuanzia Sekekenke,Mingela,Tulya,Kidaru up to Mwanga,and then mpaka kule Manyara ni Mbovu na afadhali kiangazi hiki mambo kidogo mazuri ila masika wananchi tunaisoma namba!mie kama Mwenyeki wa Wakaazi wa Kwenye Matembe Iramba nimeita Mkutano hapo kesho hapa kitongoji cha Bambaraga tufanye kikao na Wakaazi wote Matembe ili tuandike muhtasari na tuupeleke Ikulu Ndogo hapa Singida,ili wao waupeleke kule Magogoni ili niupate Ukuu wa Wilaya Niyafute Matembe Yote Kutoka kuwa Makazi ya Lazima mpaka Kuwa Makazi ya Kihistoria ya Wanyiramba!