kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 325
Haaaaa wewe mtu unaoenekana unapenda sana nyaPu haaaaaaa,watu kama nyie huwa ni adui wa maendeleo maana huwa mnaangalia vingine baada ya utendaji haaaNi mbunge wa Handeni......mkulu hakukoseaga alivyompaga ukuu wa wilaya....Hata ningekuwa mm ningempa hata uwazir aisee maana si mchezo....