Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Huyo ni chaguo la mkwereHuyu pia hayupo katika list,???."Mboni"alikuwa Dc katika wilaya moja huko Iringa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni chaguo la mkwereHuyu pia hayupo katika list,???."Mboni"alikuwa Dc katika wilaya moja huko Iringa
Anaye sikitisha ni simiyu yetu masikini ya mungu anaendelea kulinda maduka pale shinyangaWe jamaa kama ulikuwepo kichwani mwangu maana ha vijana wanakesha mitandaoni kwaajili ya chama
Naona stroke sasa inapanda hadi kwenye mishipa ya fahamulowasa kawapa vijana wake mkopo wa kisaniii
akalimeMbona mnamsahau yule kijana niliyekuwa namtafuta siku moja humu ndugu AFRICAR KAGEMA? Nawambia huyu ni jembe kweli kweli.
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......
1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba
NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
ukimpa moyo we utasukuma vipi damu?Nampa moyo.....
Hivi POLEPOLE ni mnyakyusa? Wa wapi??Polepole kautafuta mno u DC!
Katutia mno aibu wanyakyusa huyu jamaa!Hana msimamo kabisa,leo anawaomba mfuate hiki kesho anageuka kauli zake
Pole pole mtu wa makamo, siyo kijana
mbona polepole yuko na 58?Ni kijana ni shida tu zinampa umakamo
Hahahahaha mkuu anatishaambona polepole yuko na 58?
swissme
Huo mgongo ni shidaaniMbona mnamsahau yule kijana niliyekuwa namtafuta siku moja humu ndugu AFRICAR KAGEMA? Nawambia huyu ni jembe kweli kweli.