Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Salum Hapi mwanaccm kitambo Sana jamaa huyu sijui kanenepa siku hizi ?? Na zile siasa za revolution square zilizikwa rasmi Na Rwekaza ? Really miss those moments in UDSM.
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
NINAPOCHOKA NKAENDA HAJAKUBWA PALE ANAPODAI AKUWAHIKUWAJUZA MPAKA WALIPOTANGAZWA WAKATI JF TUNA MAJINA YA WAKU TOKA FEB NA AKUNA JINA LILILOBADILIKA
 
Polepole kautafuta mno u DC!
Katutia mno aibu wanyakyusa huyu jamaa!Hana msimamo kabisa,leo anawaomba mfuate hiki kesho anageuka kauli zake
 
Nina rafiki yangu mtoto Wa Dc....hapa kanda ya ziwa naona toka teuzi za wakuu Wa mikoa hana raha kabisa.....
Alishazoea lile cruiser liitwalo kilimo kwanza,sasa kuanza maisha mapya ya daladala ndio maana hana raha
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!

Mbona mnamsahau yule kijana niliyekuwa namtafuta siku moja humu ndugu AFRICAR KAGEMA? Nawambia huyu ni jembe kweli kweli.
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
Mmmmmmh!
 
Duh hiyo list kama ni ya ukweli italeta fujo hapa JF, wanachadema watawatukana hao vijana, nasi waislamu tutaona tumeonewa yaani list ya 21 only 4 Muslims
 
Wishful thinking,if wishes were horse........Msitake kumpangia Mh list ya mnaowataka,Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa ...kama unampenda sana kunywa naye kahawa....HAPA KAZI TU
 
Back
Top Bottom