Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

dozi gari yenye matokeo hasi, anajalibu kuumiza watu nakusahau kutimiza malengo. kati ya hao mabwana sioni competent person katika utendaji, ila walijitahidi sana kutetea hadhi ya chama ndoo maana wamepewa heshima ya kula keki.
Ndo hivyo, mshaumia, mbona wengine kazi mpaka sasa wanapiga??
Alafu mbaya zaidi wenzenu sisiemu ndo wanaweka kizazi kijacho cha utawala madarakani kupata exposure, nyie mnahangaika na wazee kima kingunge na el! Mko myopic kabisa.
 
As good as rubbish in a rubbish pit

We umechagua 21 Kati ya 46 na kusema watapewa uDC bila grounds
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
Waisilam 4 ,wakiristo 17. Duu, udini kama kawa
 
Ndo hivyo, mshaumia, mbona wengine kazi mpaka sasa wanapiga??
Alafu mbaya zaidi wenzenu sisiemu ndo wanaweka kizazi kijacho cha utawala madarakani kupata exposure, nyie mnahangaika na wazee kima kingunge na el! Mko myopic kabisa.

sipingani na wewe maana sijui upeo wako upoje katika haya, ila hatushindani simba vs yanga. hapa tupo katika utendaji kama unaona wanafaa safi sherekea maana nchi itasonga mbele. kama unasehemu unahisi unaweza ukaweka mchango ndo mahari pake hapa.

kunakanuni inasema kama umezoea uvuvi, nishida kuwa rubani. ukipata jiko kwa maneno huwezi endesha kwa maneno.

watoto wa mtaani wanasema kama umepata kazi kwa kumkuna bosi, basi utafanya kazi kwa kumlizisha bosi milele, akili yako inakuwa likizo
 
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
List ina wakristo 95% ... subirini kidogo muone muujiza
 
safi sana, la msingi uwezo uzalendo uadilifu na uchapa kazi. sio kujaza walimbwende kwa kisingizio cha usawa wa kijinsia huku watu ni miziko tu.
 
Namwomba Mheshimiwa Raisi ASIMTOE yule Mbeba Waandishiwa Habari na wapiga picha za TV huko iringa......Niko siriazi..
 
POLEPOLE NA MAKONDA. Tena Polepole apewe Kinondoni au Wilaya za Arusha.
Kwa maoni yangu, kinondoni apewe Kippi ili:
1. Awe chini ya makomda na Madereva aliyepanda chati kwa kukong'oli JSW.
2. Atakuwa karibu na wana Kawe. "Awatumikie" hwenda wakamkumbuka 2020.

Polepole ALETWE Arusha. Ikiwezekana MERU!
 
Sidhani kama ni sahihi..hii orodha.
Ndugu, kwa maoni yangu, HATA KAMA ORODHA hii SI SAHIHI ukweli ni kuwa CCM watatumia sehemu kubwa ya WALIOSHINDWA UBUNGE kujaza nafasi za Wakuu wa Wilaya. Naomba uyaamini maoni yangu.....
 
Back
Top Bottom