Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Unataka kuwachafulia tu wenzako.
 
Nisikiavyo kijana ni taifa la kesho, ina maana hiyo kesho ni lini?
 


Pole pole sio kijana yule
 
Ni sura ya ukomavu tu lakini bado ni kijana. Kwani kijana hasa kwa mwanaume mwisho miaka mingapi?

Nakiri niliaminishwa tofauti. Hivi huyu Humphrey Pole pole hakuwa ameteuliwa naibu waziri?Naomba wanajamvi mniweke sawa.
 
Mjinga Mjinga anaweza amini hyo list ya kupikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…