swahaba sultan
Senior Member
- Sep 16, 2014
- 119
- 8
kichwa yako imeruka
xaxa n sept 22 xaa 6 na 30 ucku hamna taarifa kuhuxu tcu!je watatoa xaa ngap?
Wameahirisha hadi october 17. Kuna mambo hayajakaa sawa.
Wameahirisha hadi october 17. Kuna mambo hayajakaa sawa.
Kila kona yupo huyo jamaa cjui ana hisa JF
hawatakagi kukubali kwamba walikosa nafasi ud,ardhi na mzumbe,,,,,vilaza kweli.
unaifaham sua au unaisikia tu?