Kwan lazima uingie kwny jukwaa hili la edu, we ukiona unaboreka ingia hata kwny page ya udaku huko mc2letee mambo ya kiboya humu,,,ndo maana ikaitwa jukuwaa la elimu
Na usijione wewe pekee ndo umesoma kuliko hao form 6 unaowa-diss, wapo kibao tena isitoshe hata elimu wanakuzid lakin wamekaa kimya! usione watu wapo kimya bhana, kama inakukera wee ipotezee