tumehairisha..tutatoa kesho kutwa.
jaman jaman jaman tcu toeni basi hayo majina kukaa nyumbani nako miyeyushoo
dah....nlikua sitegemei kabisa kuchaguliwa TEKU...nliijaza tu..
kwa anaepajua vizuri anisaidie
achana nae atakuletea shaz ameelewa xana lakin analeta udeep wake hapa.
du wanajamii forum tafsir ya rangi hzo ni kweli au?mana mi kwenye profile yangu vyuo vyote wameniwekea nyeusi!
elimu bora tulisoma enzi zetu tu siku hizi ccm isha chakachua kila kila.....