majjita 01
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 232
- 82
hawa watu walitangaza kuachia majina tar22 lakini mpaka muda huu naangalia jina nijue kama ndugu yangu kapata au kakosa bado kimyaaaa? hivi nyie tcu mnajua kama tunahitajika kuwaandalia hela kwa ajili ya masomo kwa hiyo ni muhimu kufahamu mapema?Tanzania mpaka inasikitisha, ninachoshangaa imetumika technologia ya mtandaoni kujisajili sasa si bora wangeacha kama enzi zetu unaapply moja kwa moja chuo husika?
MNABOA SANA KAMA VILE HAMJUI PESA ZINAHITAJI MATUMIZI NA MIPANGO?
we ndo kalagha bawooooo
....yani ukizubaa admission mwaka uu kwako utaisikia ileee inapepea ...
unajaza kozi zaushindan bilá kuangalia mbele .. ushauri wasiliana na tcu
angekua kakosa zote jina lake lingetokea second round selection kuna uwezekano wa kupata mmoja ndo maana hajatupwa second round selection
Hata mimi pia ni blue tu
Mbona siku haijaisha jamani?!