Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
jaman mwisho wa siku chuo mtaenda haachwu mtu.. sasa hv ww ni kufikilia utapewa mkopo?? sasa kama umepata chuo thn hela ya kula huna si ni matazi hapo wakubwa
 
Hizi Taasisi Ziliuahidi Umma Kuwa Tar 22/09/2014 Watatoa Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo Vikuu, Cha Kusikitisha Hadi Sasa Kimya.
Nawashauri Miaka Ijayo Wasiahidi Tarehe rasmi (kama NECTA) Na Kama Wataahidi Basi Watekeleze Kwani Wasipofanya Hivyo Kama Ilivyotokea Inaleta Usumbufu mkubwa Hasa Kwa Wahusika, Kwani Wanakuwa Na Ari Kubwa Yakutaka Kujua Wamechaguliwa Wap?
Hivyo Wengiwao kuwa na presha ama Kutokufanya Kazi Kwa Ufanisi Kwa Kutafuta Taarifa Za Matokeo.
 
Umeona we wazingua knyama yani
 
Kila mtu anajfanya mwandish wa habari.. kila mtu kakariri kuilaum serikali. kila mtu ana mori ya kujua chuo chake(kiraruraru). Jaman tulieni kama ipo ipo. kama ulfaulu utapata chuo ndugu.. TCU wamechelewa mnalaum na mkikosa mkopo je..? BE PATIENT
 
Dah! TCU bac 2............kweli mnanifanya nijile kwa kukesha, fresh.
 
Dah! TCU bac 2............kweli mnanifanya nijile kwa kukesha, fresh.

Hahaha pole ndugu unajua mimi niliona hiyo kitu sio ya kutolewa usiku hapo mpaka kesho jioni au usiku kabisa
 
Hawa jamaa wana shida sana kwa kweli wakina sisi huku tunashindwa hata kufanya kaz
 
tena wasirudie kabisaa maana itafikia wakat wajizolee matuc ya kutosha
 
hivi kama kwenye profile chaguo la kwanza halipo hila maelezo yooote yanaanzia second choice INAMAANISHA NINI? maana nina hakika first choice sikuiondoa.
 
Sio inakataa ku log in wanaona idadi kubwa ya watu mna log in kutaka muiangalie wakat hamna ki2 ndio maana wamefunga kabisa msiwe mnafanya hvyo coz nafnya server zao kuwa busy nawao kushindwa kufanya kazi ipasavyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom