Charles Elias
Member
- Aug 14, 2012
- 61
- 4
Fungueni email zenu,wengine wana Joining instructions mkononi tayari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu anajfanya mwandish wa habari.. kila mtu kakariri kuilaum serikali. kila mtu ana mori ya kujua chuo chake(kiraruraru). Jaman tulieni kama ipo ipo. kama ulfaulu utapata chuo ndugu.. TCU wamechelewa mnalaum na mkikosa mkopo je..? BE PATIENT
Hahahahaaah,,,,,,,,,,ujumbe na avatar vina nini??Katavi ujumbe wako asee na hiyo avatar yako imenichekesha sana.
acha kujitia pressure mkuu.. ulichojaza kwa prof yako ina maana umevilizia kwenda kusoma hvyo.. na selection zikitoka na lazima uchaguliwe kati ya hzo. huwezi achwa. sa punguza mtero basi kidogo. fikiria mkopo utapata coz chuo uhakika upo.Hizi Taasisi Ziliuahidi Umma Kuwa Tar 22/09/2014 Watatoa Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo Vikuu, Cha Kusikitisha Hadi Sasa Kimya.
Nawashauri Miaka Ijayo Wasiahidi Tarehe rasmi (kama NECTA) Na Kama Wataahidi Basi Watekeleze Kwani Wasipofanya Hivyo Kama Ilivyotokea Inaleta Usumbufu mkubwa Hasa Kwa Wahusika, Kwani Wanakuwa Na Ari Kubwa Yakutaka Kujua Wamechaguliwa Wap?
Hivyo Wengiwao kuwa na presha ama Kutokufanya Kazi Kwa Ufanisi Kwa Kutafuta Taarifa Za Matokeo.
wakubwa hao mazombi waki2pia maovyoovyo yao myamwage kwenye jamvi le2 bac ili 2yaone wote.