Hizi Taasisi Ziliuahidi Umma Kuwa Tar 22/09/2014 Watatoa Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo Vikuu, Cha Kusikitisha Hadi Sasa Kimya.
Nawashauri Miaka Ijayo Wasiahidi Tarehe rasmi (kama NECTA) Na Kama Wataahidi Basi Watekeleze Kwani Wasipofanya Hivyo Kama Ilivyotokea Inaleta Usumbufu mkubwa Hasa Kwa Wahusika, Kwani Wanakuwa Na Ari Kubwa Yakutaka Kujua Wamechaguliwa Wap?
Hivyo Wengiwao kuwa na presha ama Kutokufanya Kazi Kwa Ufanisi Kwa Kutafuta Taarifa Za Matokeo.
Dah! TCU bac 2............kweli mnanifanya nijile kwa kukesha, fresh.
Naona sasa iv ukitaka ku login in kwenye profile inakataaa