Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Duh! Kiongoz hiyo Issue Namshukur Maulana coz tupo wengi mwanzon nilijua ni mm pekee nilidata na mbaya ukipiga yale manamba yao hakuna linalopokelewa. Maana ngoma kwe prof inaanzia 2nd, 3rd 4th na 5th halaf 1st choice haipo na haijaondolewa
 
Kila mtu anajfanya mwandish wa habari.. kila mtu kakariri kuilaum serikali. kila mtu ana mori ya kujua chuo chake(kiraruraru). Jaman tulieni kama ipo ipo. kama ulfaulu utapata chuo ndugu.. TCU wamechelewa mnalaum na mkikosa mkopo je..? BE PATIENT

mtu wa iringa utamjua 2 maana ya neno kiraruraru asili yao ni huko
 
Mimi nahisi hiyo itaongeza nguvukazi,na hatimaye ku-release majina mapema kwani wanaopiga kazi kwa sasa mzigo umewawia mkubwa!
 
Ha ha ha,
Hii ndio digital generation.
Kila mtu anauwezo wa kupata updates za kutosha. That's why.
 
Kufahamu selection ni haki yao..kama ulifeli f4 ni shida yako,wawache watoto watu wayaulizirle.
 
tcu wameshuka thaman kama chupi (ža short. sleeve)
 
acha kujitia pressure mkuu.. ulichojaza kwa prof yako ina maana umevilizia kwenda kusoma hvyo.. na selection zikitoka na lazima uchaguliwe kati ya hzo. huwezi achwa. sa punguza mtero basi kidogo. fikiria mkopo utapata coz chuo uhakika upo.
ilaa mkooo sasa!!! ya moto.
 
Mbona profile inafunguka fresh 2,ila walikuwa kwenye mkutano jana na nacte so ni kusubiria, na uvumi unasema mpaka kesho
 
dah!!! hii n hatar kwa kweli tunakuwa bundi wa NACTE/TCU duuuuuuhhh!!! :A S wink::A S wink::A S wink:
haya n maisha yetu jamani:A S crown-1::A S crown-1: tufanyieni michakato
 
Dah mpka kichwa kinaumwa kama nin watuambiwe matokeo hayapo tushukuru tuondoke na wahka na was was
 
hivi ni bora uambiwe umekosa kwa sababu ulifanya multiple admission au kusubiri uambiwe umepangwa wapi? chagua moja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…