General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
Sasa una uliza nn?? Elimu haijakukomboa nn???habari zote utapata kwenye web site husikaa mkuu
Sasa una uliza nn?? Elimu haijakukomboa nn???habari zote utapata kwenye web site husikaa mkuu
wekama hujui kitu kaa kimya mkuu hujalazimishwa kujibu!. Wewe ni sawa na wela watu ambao unawaulizia tcu iko wapi anakuambia ipo dar, wakati kila mtu anajua ipo dar, tatizo nikwamba hajui ipo dar sehemu gani. So, ukiulizwa kitu kaa kimya otherwise weka directed link to the concerning topic.
Jamaa kauliza swali,kama hakuna majibu kaeni kimya.Msitake kutafuta umaarufu kupitia swali lake
Naomba kwa anaefahamu, heslb watatoa lini mkopo after the release of tcu post?
kutoa mikopo au majina yanayoindicate kiwango cha mikopo? kama ni mikopo hadi mfike chuo then wiki mbili za mwanzo au tatu mtapata hela yenu.
ila kama ni majina ya waliopata mkopo basi yatatoka tareh 22 cuz tcu itatoa full majina na viwango vya pesa
mkuu umenielewa poa kabisa, na umejibu swali langu exactly as i want.
hahaaa mi zote blue meeen
Teh teh teh mkuu matusi yako yananifurahisha sana MSHONO ?!! JIPU?ndo nini hivi