General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
Sasa una uliza nn?? Elimu haijakukomboa nn???habari zote utapata kwenye web site husikaa mkuu
wekama hujui kitu kaa kimya mkuu hujalazimishwa kujibu!.
Wewe ni sawa na wela watu ambao unawaulizia TCU iko wapi anakuambia ipo dar, wakati kila mtu anajua ipo dar, tatizo nikwamba hajui ipo dar sehemu gani.
So, ukiulizwa kitu kaa kimya otherwise weka directed link to the concerning topic.