Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
If you think am total wrong you can correct me coz me co mashine no typing error tu

Hakuna typing error yoyote hapo isipokua umelitumia neno hilo mahali pasipotakiwa. Faculty kwa kiswahili ni Kitivo, ndani ya kitivo kuna kozi mbalimbali kwa viwango mbalimbali vya elimu kama shahada(degree), shahada ya uzamili/umahiri (masters), PhD nakadharika.
Kila chuo kikuu kina faculty mbalimbali ambazo zinatoa kozi tofauti tofauti.
Faculty inatoa kozi zinazoshabihiana mfano faculty of Information and communications basi humo utakuta kozi zinazohusiana na mambo ya mawasiliano na IT tu, faculty of bussness basi humo ndiyo unazikuta kozi za biashara, ugavi, uhasibu nakadharika.
 
wadau kwa yeyote atakayepata chochote kinachoendelea kwa hawa waheshimiwa yaani TCU & NACTE atujuze kwa sababu walitujulisha kuwa leo ndio ile siku ya kujua mbivu na mbichi.

#GOD BLESS US....!!

mhusika wa maswali yetu blog yuko wap????zile mia8 mia8 zetu aiseee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom