Uthibitisho wa Aliyoyasema Polepole kuhusu Nchi kupigwa Almasi Huu hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Baadhi ya Wazalendo wameanza kufukua vielelezo kwa lengo la kuthibitisha aliyoyasema ndugu Humphrey Polepole kuhusu Nchi Kutafunwa.

Na sisi bila hiyana na labda kwa manufaa ya wanajf wapya na wale wasahaulifu na wengine kote Duniani tumeamua kusogeza vielelezo hivyo hadharani.

Screenshot_2025-08-26-18-29-32-1.png
Screenshot_2025-08-26-18-29-42-1.png
Screenshot_2025-08-26-18-30-03-1.png

Toa Maoni yako
 
Huyo Rostam Aziz mtuhumiwa wa uhujumu uchumi & money laundering na mfadhili mkuu wa CCM yupo kwenye picha hii hapo? Si tunaambiwa ndiye aliyekuwa mwenye almasi hiyo?

Mimi sioni ngozi nyeupe ya kihindi hapo. Naona wabongo weusi wenzetu tu hapo..
 
Uthibitisho kwa vipi? Almasi imekamatwa, si imekamatwa? Utasema imeibiwa? Naona kuna mgodi wa Mwadui, historia inasema ulivumbuliwa na Dr Wiliamson 1958 alikuta Wasukuma wanacheza bao. Almasi kubwa akampa Princess Margaret alitembelea mgodi 1958, ingine akapeleka kwa Malkia Elizabeth dada yake. Rostam na Samia walikuwa hawajazaliwa. Kama unajua kazi na himaya ya DeBeers utakubali kuwa si rahisi kuwaibia. Finally, kama Abduli kakutwa ana kampuni China, ni raia kama wewe na mimim ashitakiwe kwa huo ushahidi wako.
 
Kwa hiyo Pole pole amekuwa shujaa kwa ChADEMa? Ni dhahiri bado kuna uwazi unaihitaji kuzibwa ndani ya CDM.
 
Uthibitisho kwa vipi? Almasi imekamatwa, si imekamatwa? Utasema imeibiwa? Naona kuna mgodi wa Mwadui, historia inasema ulivumbuliwa na Dr Wiliamson 1958 alikuta Wasukuma wanacheza bao. Almasi kubwa akampa Princess Margaret alitembelea mgodi 1958, ingine akapeleka kwa Malkia Elizabeth dada yake. Rostam na Samia walikuwa hawajazaliwa. Kama unajua kazi na himaya ya DeBeers utakubali kuwa si rahisi kuwaibia. Finally, kama Abduli kakutwa ana kampuni China, ni raia kama wewe na mimim ashitakiwe kwa huo ushahidi wako.
Nakuona mla makombo ya wakubwa unavyobwabwaja kutetea ugali
 
Naomba pia mwenye picha ya zile bunduki zaidi ya 70 (aina tofauti) alizokamatwa nazo mdogo wake Rostama Azim anayefahamika kwa jina la Akram Aziz. Bunduki hizo zilikuwa zikitumika kwa miaka mingi kwenye shughuli za ujangili wa wanyama pori.

Baada ya kukamatwa, kesi iliisha kwa makubaliano ya siri kati ya Jiwe na RA! Na Channel 10 ikarejeshwa ccm kama sehemu ya makubaliano.
 
Je Mtuhumiwa amekanusha?
 
Back
Top Bottom