Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Naomba pia mwenye picha ya zile bunduki zaidi ya 70 (aina tofauti) alizokamatwa nazo mdogo wake Rostama Azim anayefahamika kwa jina la Akram Aziz. Bunduki hizo zilikuwa zikitumika kwa miaka mingi kwenye shughuli za ujangili wa wanyama pori.
Baada ya kukamatwa, kesi iliisha kwa makubaliano ya siri kati ya Jiwe na RA! Na Channel 10 ikarejeshwa ccm kama sehemu ya makubaliano.
Hahahahaha kosa la Akram lilikuwa kumiliki silaha kinyume cha Sheria, hivi ilikuwaje Shujaa akamwachia kwa plea bargain ya 200mil na Channel 10.
Akram anamiliki vitalu vya uwindaji na Kampuni kubwa za uwindaji ambazo zimesajiliwa miaka mingi huko na mpaka leo zipo zinaendelea na shughuli zake.
Mkuu vitalu vya uwindaji vipo na serikali inaviuza Kila kukicha, vipi ulishawahi kufuatilia na kutender
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan