Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nakuona mla makombo ya wakubwa unavyobwabwaja kutetea ugaliUthibitisho kwa vipi? Almasi imekamatwa, si imekamatwa? Utasema imeibiwa? Naona kuna mgodi wa Mwadui, historia inasema ulivumbuliwa na Dr Wiliamson 1958 alikuta Wasukuma wanacheza bao. Almasi kubwa akampa Princess Margaret alitembelea mgodi 1958, ingine akapeleka kwa Malkia Elizabeth dada yake. Rostam na Samia walikuwa hawajazaliwa. Kama unajua kazi na himaya ya DeBeers utakubali kuwa si rahisi kuwaibia. Finally, kama Abduli kakutwa ana kampuni China, ni raia kama wewe na mimim ashitakiwe kwa huo ushahidi wako.
Wataalamu wa kushupaza shingo bado watakataa a.k.a kujizima dataBaadhi ya Wazalendo wameanza kufukua vielelezo kwa lengo la kuthibitisha aliyoyasema ndugu Humphrey Polepole kuhusu Nchi Kutafunwa.
Na sisi bila hiyana na labda kwa manufaa ya wanajf wapya na wale wasahaulifu na wengine kote Duniani tumeamua kusogeza vielelezo hivyo hadharani.
View attachment 3454077View attachment 3454079View attachment 3454080
Toa Maoni yako
Usalama wa Taifa ni mbweha TU wabwekao, wanahangaika na CHADEMA wasio na madhara kwa taifa letu, wanamuacha Rostam, kikwete na MamaSamia2025 wakiitafuna nchi kadiri watakavyo.Rostam AZIZ
Jikite kwenye madaKwa hiyo Pole pole amekuwa shujaa kwa ChADEMa? Ni dhahiri bado kuna uwazi unaihitaji kuzibwa ndani ya CDM.
Je Mtuhumiwa amekanusha?Uthibitisho kwa vipi? Almasi imekamatwa, si imekamatwa? Utasema imeibiwa? Naona kuna mgodi wa Mwadui, historia inasema ulivumbuliwa na Dr Wiliamson 1958 alikuta Wasukuma wanacheza bao. Almasi kubwa akampa Princess Margaret alitembelea mgodi 1958, ingine akapeleka kwa Malkia Elizabeth dada yake. Rostam na Samia walikuwa hawajazaliwa. Kama unajua kazi na himaya ya DeBeers utakubali kuwa si rahisi kuwaibia. Finally, kama Abduli kakutwa ana kampuni China, ni raia kama wewe na mimim ashitakiwe kwa huo ushahidi wako.
Nakumbusha kuhusu. Vyura wa kihansiJe Mtuhumiwa amekanusha?