Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Utupe mrejesho pleaseDaaah hiyooo nmeipendaa mkuu binafsi ni mtaalamu wa maabara kutoka maabara kuu ya mifugo taifa ntaifatiliaa hiyooo kisayansi zaid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utupe mrejesho pleaseDaaah hiyooo nmeipendaa mkuu binafsi ni mtaalamu wa maabara kutoka maabara kuu ya mifugo taifa ntaifatiliaa hiyooo kisayansi zaid
Fedha, matibabu ni gharamahivi unasahau vipi kuwapa kuku chanjo?
Naomba unifahamishe dalili za huo ugonjwa mkuu.wape chanjo!
kwani wana umri gani?
kama huwezi kuwapa kuku chanjo acha tu kufuga mkuu maana ugonjwa ukipita hapo kupona ni nadra sana .ngoja kideri kipite ndo utaelewaFedha, matibabu ni gharama
c luga nzurhapana acha ujinga
wik2 kuisaka ya3wape chanjo!
kwani wana umri gani?
utaona wanaharisha vitu vyeupe mithili ya chokaaaNaomba unifahamishe dalili za huo ugonjwa mkuu.
naongezea atambue kinga ni bora kuliko tiba hasa kwa kuku chotarakama huwezi kuwapa kuku chanjo acha tu kufuga mkuu maana ugonjwa ukipita hapo kupona ni nadra sana .ngoja kideri kipite ndo utaelewa
am sory mkuuc luga nzur
wape kinga.si ushawapa ya kideri?wik2 kuisaka ya3
one lv pa1am sory mkuu
Mkuu niPM namba yako. Nataka kuchime natafuta mayai ya mbegu ya izraeli au kroila mana nina malawi saso na kuch
karibu tenaAsante nimejifunza kitu
yes niliwapa na hiyo nitawapa kesho nimewapa fresh water leowape kinga.si ushawapa ya kideri?
usiwape kesho subiri weekyes niliwapa na hiyo nitawapa kesho nimewapa fresh water leo
0717209059 ila mayai yanachanganyika mkuuu kuku wote wapo pa1 kama uonavyo profl pichaMkuu niPM namba yako. Nataka kuchi
Habari wanajamii leo napenda kushare na Jamii pamoja na taasisi mbali mbali ili kuthibitisha na kufanya utafiti zaidi kuhusiana na Ugonjwa wa GUmboro kwa Kuku.
Nikiwa mgeni katika sekta ya ufugaji wa kuku wa kienyeji nimekumbana na ugonjwa wa Gumboro kutokana na kuchelewa kutoa Kinga na kupelekea ugonjwa kushambulia vifaranga na kuku wa kubwa.
Baada ya kuthibitisha ni ugonjwa wa gumboro unashambulia kuku wangu na kuripot vifo viwili vya vifaranga huku wengine wakiwa tayari na maambukizi.niliwapa kinga kujaribu kokoa hasara.
baada ya siku ya 3 kutoa kinga kuku wengi walinyong'onyea na kusinzia .siku hiyo majira ya saa 6 siku ya jumapili nikua nimenunua nanasi,mke wangu alilichonga alikuta sehemu kubwa ya nanasi imekua rangi ya udongo/kuharibika na nanasi lenyewe lilikua na sukari kali sana.
sehemu ile iliyokua imeharibika ilikatwa.. Baada ya muda yule kuku alizidiwa alifata harufu ya nanasi na kuanza kulidonodono na kula wengine nao walifata wakaligombania na kulimaliza
nilipoona vile na kuku wamepoteza hamu ya kula niliwaopa na vipande vingine wakaendelea kula baada ya kama dakika 30 yule kuku wa kwanza nilimwona akiwa anachangamka.kuku huyu nilimwona wakwanza kutokana yeye kupenda kukaa mahali nipo. niliwatafuta kuku wengine nao walikua wanacheza cheza na wengine wakila kile chakula kwa kasi.
Leo siku ya 6 sijaona kuku anaezubaa tena na kuharisha.
Huu ni Uthibitisho wangu wa Kuku wangu kupona Gumboro kwa Nanasi ?
Wanajamii na Taasisi za mifugo na kilimo naomba mufanye utafiti Katika Katika nanasi pamoja na jamii yake. huenda likawa ni suluhisho la maradhi mengi kwa KUKU.
ASANTE!
Asante nimejifunza kitu
Mkuu niPM namba yako. Nataka kuchi
HII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA0717209059 ila mayai yanachanganyika mkuuu kuku wote wapo pa1 kama uonavyo profl picha
one lv umetisha upo wap wwHII NI RATIBA YA CHANJO NA DAWA
SIKU YA 7.
vifaranga wapatiwe chanjo ya NEWCASTLE (KIDELI).chanjo hii huchanganywa na maji safi katika eneo lenye kivuli kasha kupewa vifaranga kwa muda wa masaa mawili kisha toa maji hayo na kuyamwaga mbali na eneo ambalo kuku wengine
wanaweza kuyafikia,au kuyachimbia.baada ya hapo vifaranga wapewe maji yenye vitamin
SIKU YA 14.
Wapewe chanjo ya GUMBORO(IBD).chanjo hii pia huchanganywa katika maji na kupewe vifaranga kwa muda wa masaa mawili tu.baada ya hapo vifaranga wepewe vitamin.
Siku ya 21.(wiki ya tatu)
Rudia chanjo ya Newcastle
SIKU 28(mwezi)
Rudia chanjo ya GUMBORO IBD