DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
Wakuu nimejaribu kufikiri kwa logic ndogo tuu ili kutoa uthibitisho wa mungu kwa kutumia laws of nature tujadili.
Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga njaa kuna shibe kila kitu kina kinyume chake ,,,sasa hakuna mtu aliyewahi kumouna Mungu wala kuthibitisha lakini kuna nguvu za giza ama uchawi hiyo hata wewe utakua ulisha shuhudia uchawi kuna mambo ya kuuana, vinyongo , kutupiana mapepo na yote haya kila mtu anaproove.
Sasa turudi kwenye principle yetu kwamba kila kitu kina opposite yake maana yake kuna nguvu opposite inayopingana na nguvu za giza tuiite ''nguvu ya mwanga''hii nguvu ndio Mungu mwenyewe nikimaanisha nini kila kitu ulimwenguni kina asili yake kama kuna asili ya nguvu ya giza basi kuna asili ya nguvu ya mwanga{mungu} ukishaelewa hapo unakuja sasa kwa kutumia nature laws.
Kwamba kila nguvu ama kitendo lazima kibalance ili ulimwengu uendelee ndio maana unaona watu ukitaka kujenga unachimba mchanga uatakata miti hii inamaanisha nini kwamba dunia ama ulimwengu hauwezi kulalia upande mmoja ndio maana tunachukua vya ulimwengu tunavitengeneza ngua, magari kwa hiyo kila kitu lazima kibalance...sasa tunakuja kwenye suala la nguvu za giza na nguvu za mwanga {Mungu} je tujiulize zimebalance.
Kwa kutumia akili ya kawaida kulinganisha nguvu mbili tofauti tunaangalia effects zake ama matokeo yake na maanisha nini kwamba ilikujua gari moja ina uwezo mkubwa kuliko nyingine itabidi zipewe kazi moja ili kuangalia matokeo mfano watazifunga kamba zivutane, au zitawekewa mzigo kuangalia ipi itakua fasta...vivo hivyo kwenye kila kitu ulimwenguni kuanzia simu,computer, wakimbiaji, watu wenye akili, vifaa vya kijeshi n,k.
Sasa turudi kwenye topic kati ya nguvu giza na nguvu mwanga{Mungu} ipi inanguvu tunaangalia effects zake katika maisha ya binadamu tukianza ya giza tumeona tumesikia ikisababisha ajali, magonjwa ,mapepo lakini jiulize je ukilinganisha je ni binadamu wangapi wana mapepo au wameingia katika mtindo wa kinguvu za giza ni wengi lakini huwezi kulinganisha na wasiokua na mapepo au kukumbwa na uchawi. kwa hiyo nguvu mwanga inaonekana kuwa kubwa kuliko nguvu ya giza.
Kama hii nguvu giza ingelikua na effects kubwa kuliko Mungu basi Binadamu wengi tungekua na mapepo ama wachawi. Lakini pia tujiulize kama nguvu giza inakua na masharti tumesikia kuna kafara, namna ya kufanya namna ya kuiomba vile vile nguvu mwanga{Mungu} nayo kuna masharti yake ambayo yanapingana kabisa na mashari ya nguvu giza nguvu mwanga{Mungu) hii ina masharti yake kama kupendana, usimchukie mwenzako, na mengine mengi ambayo opposite na nguvu giza.
Nawasilisha pinga kwa kutumia hoja.