Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Umetuelezea vizuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Aisee
Ngoja nijipange, naona wamekukimbia kwa sababu unaongea lugha ya namba mwanzo mwisho...
Kumbe uko fiti sana shabiki wa Putin.....Safi sana, nimependa hii siredi....
 
Mfano?
 
Inshort Energy na God ni same thing
 
Upambanuzi ni mzuri hakika,tatizo ni kutumia werevu kunimiliki kifikira.Uwepo wa nadharia ya Mungu ni ishara ya mwanadamu kufika ukomo wa kufikiri.Kwa kuwa elimu ya quantum,atomic,nuclear physics ilikuja baada ya ugunduzi kumbe hata suala la source of energy litakuja kadiri gunduzi zinavyoendelea.Kuifungia akili katika kizimba cha kila ukomo wa fikira Mungu anaishi ni hatari kwa ustawi wa dunia hii.Enlightenment ilianzia karne ya 6-3K.K huko Ugiriki kisha kiza kikatanda na mpaka leo tuna state god(mungu wa serikali) ambapo mfumo huu ni athari za utawala wa Warumi kwani ulidumaza ustawi wa dunia.Skepticism na enlightenment kuanzia 1500B.K ndiyo chimbuko la hata wewe mleta mada kujua quantum physics.Kataa uwepo wa Mungu ili akili ivuke mipaka(transcend) tayari kwa uvumbuzi zaidi.
 
Kukataa uwepo wa Mungu haimfanyi mtu kuwa mvumbuzi,. wapo watu wengi waliokataa na wanaokataa uwepo wa Mungu lakini hawajavumbua kitu chochote,.

Kwa mfano wewe umevumbua kitu gani kinachojulikana Duniani,. ambacho directly unaamini uvumbuzi huo unatokana na wewe kukataa uwepo wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…