Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msianze kuleta mada za kunichafua.
Mimi hamnijui na siwezi kutumia mwanya huo kufanya vitu vya hovyo.
Someni updates zangu pale chini.
Kila kitu kitakaa sawa
siamini kama kaingia mitini nadhani tusubr atakuja kutupatia mrejeshovipi mdhamini kaingia mitini nini...
mkuu duniani hatupo sawa naamini utatupa mrejesho positive kuhusu hili ukwamue vijana na iwe fundisho kwa yoyote mwenye kuweza kutoa msaadaMsianze kuleta mada za kunichafua.
Mimi hamnijui na siwezi kutumia mwanya huo kufanya vitu vya hovyo.
Someni updates zangu pale chini.
Kila kitu kitakaa sawa
siamini kama kaingia mitini nadhani tusubr atakuja kutupatia mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kufanya biashara yoyote mkuu, tuanze na hapo kwanza
WanaYanga haoHapana mkuu mimi sidhani kama naweza kujiingiza kufadhiri mitimu,kufadhiri timu hizo sifa tu mtu anatafuta lakini hakuna maana yoyote mkuu. Tena mo ndio kabisa wafanyakazi kwenye viwanda vyake wanafanya kazi ktk mazingira kwa muda mrefu bila kupumzika,ujira kidogo,huku upande mwingine ukimwaga mihela isiyo na maana yoyote kwa timu. Angalau bakhresa wafanyaka kazi wanafanya kazi kwa kufuata sheria za kimataifa,wanalipwa vizuri. Jiulize wewe ni bilionea una viwanda,lakini unapoishi tu wanaokuzunguka kuna masikini wa kutupwa,anza na wao,kama sio kuwaajiri wawezeshe kwa namna yoyote hata anza nao mafunzo ya ujasiliamali. Badae kamtaa kote mnakuwa mko vizuri japo hamuwezi kuwa sawa,lakini vijumba vya kubumba vinaondoka mtaa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unajua soko la viazi ni?Wazo langu likikubalika, kwa hiyo 50 huku Iringa nitajumua viaz mviringo kwa tsh 47,00 ndani yake huwa kunakua na lita 90 au debe za lita 20 huwa zinaingia 4.5.
Ukilifungua na kuuza rejareja kwa huku Iringa lita moja tsh 1000, lita 2 tsh 2000 lita 4 tsh 3000 na lita 10 tsh 8000 plastick la lita 20 tsh14,000.
Ukiuza rejareja kwa hizo bei haukosi tsh. 15,000 mpaka 40,000 kwa gunia moja itategemea wateja wengi watanunua kwa kipimo kipi Ikiwa kwa lita moja moja faida itakua kubwa kuliko plastick kitu ambacho gunia unaweza kuuza kwa siku moja.
Mtaji ukikua nitaanza kuchimba mwenyew shambn na kupeleka Dar maana Dar bei n kubwa zaida na mzunguko ni mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana simba wengi watoto na wapiga ganja,ndio maana hawajaelewa. Kama hapo nimeandika in general iwe simba,Yanga au azam,lakini hawajaelewaWanaYanga hao
Msiache kusoma updates kule juu