Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

Simamia maamuzi yako wala usiyumbishwe na fikra za yeyote.

Ninaamini pia wakati wa kumtangaza msindi/washindi utaeleza pia vigezo vilivyotumika kulipima wazo na kuliona kuwa ni bora.
Msianze kuleta mada za kunichafua.
Mimi hamnijui na siwezi kutumia mwanya huo kufanya vitu vya hovyo.
Someni updates zangu pale chini.
Kila kitu kitakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msianze kuleta mada za kunichafua.
Mimi hamnijui na siwezi kutumia mwanya huo kufanya vitu vya hovyo.
Someni updates zangu pale chini.
Kila kitu kitakaa sawa
mkuu duniani hatupo sawa naamini utatupa mrejesho positive kuhusu hili ukwamue vijana na iwe fundisho kwa yoyote mwenye kuweza kutoa msaada

NB; kutoa sio utajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WanaYanga hao
 
Wazo langu likikubalika, kwa hiyo 50 huku Iringa nitajumua viaz mviringo kwa tsh 47,00 ndani yake huwa kunakua na lita 90 au debe za lita 20 huwa zinaingia 4.5.
Ukilifungua na kuuza rejareja kwa huku Iringa lita moja tsh 1000, lita 2 tsh 2000 lita 4 tsh 3000 na lita 10 tsh 8000 plastick la lita 20 tsh14,000.
Ukiuza rejareja kwa hizo bei haukosi tsh. 15,000 mpaka 40,000 kwa gunia moja itategemea wateja wengi watanunua kwa kipimo kipi Ikiwa kwa lita moja moja faida itakua kubwa kuliko plastick kitu ambacho gunia unaweza kuuza kwa siku moja.
Mtaji ukikua nitaanza kuchimba mwenyew shambn na kupeleka Dar maana Dar bei n kubwa zaida na mzunguko ni mkubwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi unajua soko la viazi ni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…