Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

Mmeanza kumyumbisha mtoa mada tafadhar simamia Mawazo yako binafs ukinipa fursa nichague top 2 ni wafuat

Peramiho yetu

Zero IQ

Mmojawapo anafaa kwan Mawazo yao yanatekelezeka vizuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkungu wa ndizi mbivu mzuzu =18,000
Kunde zilizokobolewa kilo 5 =17,500
Mafuta ya kupikia lita 3 =5,000
Vifungashio 100 =6,000
Mkaa ndoo kubwa =3,500

Jumla =5,000

Naanza kukaanga ndizi na bagia ka kuuza kama vitafunwa:

Package ya sh. 1,000:
Bagia 4 + ndizi 1

Kipato: kilo 5 za kunde nna mkungu wa ndizi vitatengeneza package 80-90 za 1,000 each =80,000-90,000

Faida itakuwa kati ya sh 30,000 na 40,000
NB: mafuta na mkaa bado vitakuwepo kwa ajili ya mzunguko wa pili.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo Mkoa gan?

Maafuta ya kupikia lita3 sawa na tsh 5000/=kila Lita being gani?

Fafanua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Staki kuamnini October man hajawekwa kwenye ushndi ili hali hata kuna uzi wake kailezea hii biashara
Na tayari ipo kwenye uhalisia
.dah i wish ingekuwa ndani ya uwezo wangu kukusaidia bro
Natamani mwenye uwezo akuwezeshe !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera bro wazo zuriiiii mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
October man alitoa wazo gani?.nishasahau
Maana nimekutana na wazo la kuchoma mahindi,mishikaki,ķuosha magari nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of topic,,,hivi ndizi mzuzu hukaangwa zikiwa mbivu?
 
Nashukuru wadau kwa kujari, I appreciate...hili shindano na limeratibiwa kiutaratibu, sio shindano la kuoneana huruma na mimi sio mtu wa kuonewa huruma sio dhaifu hivyo.

I don't go kneeling down for money/help anymore in that life | Am grow much with self respect.
Lakini mkuu tuseme kweli..kweli idea yako ni nzuri lakini mwachie@october man!huyu dogo anapambana...ww machocho ya kupata hela huenda yapo!...mie nataman apate huyu dogo[emoji41]
100% mkuu October man apewe hilo fungu

Zero IQ anachimbo la viepe toka kitambo kutafta hilo 50 ni simple tu

Sent using Jamii Forums mobile app
bila kumsahau October man katoa wazo la kizazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Portfolio | 2020
 
Huyu apewe tu ana shida kweli hajasherehesha mada, kuna wengine wameonesha uwezo wao wa kuchambua biashara lakin hawana shida na 50
 
ndo kusema hii idea ya mwana hamku ipenda ama maaana naona hata top5 haijawa considered
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mkuu, hii ya kuosha magari hivi inalipa sana kuliko wale wenye car wash rasmi kabisa.
Niliwahi kwenda pale ilala amana, kwenye ile club ya wazee kuomba niungane nao, jamaa wakanikatalia eti wamejaa alafu wapo watatu tu. Jamaa wanapiga hela sana ase kwasababu siku nzima wapo busy sijawai kuwaona wamepumzika, na pale bei zao ni kuazia 3000
 
Idea ya biashara|| juice za u-fresh

Maeneo ya biashara|| shule za msingi

Mchanganuo wa biashara:
Box za u- fresh (caton)
each 4,500×3= 13,500
box moja linakaa u - fresh 60
Dell la kuhifadhia u-fresh - 20,000
Pesa ya kulipia kugandishiwa - 2000
Jumla 13,500+20,000+2,000= 35,500
Mtaji 50,000-35,500= 14,500
14,500 utatumia kwa ajili ya chakul na maji mwanzoni mwa biashara

Matokeo:
Unaweza kuuza box tatu kwa siku 1
Kila u-fresh moja ni shillingi 100
Gharama ya box tatu ni shillingi 13,500

Box tatu- 60×3=180
180×100(shilingi)= 18,000 shilingi
Gharama ya box = 13,500
Kugandishiwa = 2,000
Faida = 3500
Kwa mwezi 3,500×30= 105,000

[emoji769]Fenisher

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…