Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
- Thread starter
- #261
Nisaidie nduguDuh!....kwahapa umefeli..mbona naona watu wenye mawazo mazuri hawazidi wa5?unashndwa nn kuchambua!😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie nduguDuh!....kwahapa umefeli..mbona naona watu wenye mawazo mazuri hawazidi wa5?unashndwa nn kuchambua!😆
Maliza tu mchakato wako mkuu!...bora umtangaze asbhNisaidie ndugu
bila kumsahau October man katoa wazo la kizazi sanaMmeanza kumyumbisha mtoa mada tafadhar simamia Mawazo yako binafs ukinipa fursa nichague top 2 ni wafuat
Peramiho yetu
Zero IQ
Mmojawapo anafaa kwan Mawazo yao yanatekelezeka vizuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo Mkoa gan?Mkungu wa ndizi mbivu mzuzu =18,000
Kunde zilizokobolewa kilo 5 =17,500
Mafuta ya kupikia lita 3 =5,000
Vifungashio 100 =6,000
Mkaa ndoo kubwa =3,500
Jumla =5,000
Naanza kukaanga ndizi na bagia ka kuuza kama vitafunwa:
Package ya sh. 1,000:
Bagia 4 + ndizi 1
Kipato: kilo 5 za kunde nna mkungu wa ndizi vitatengeneza package 80-90 za 1,000 each =80,000-90,000
Faida itakuwa kati ya sh 30,000 na 40,000
NB: mafuta na mkaa bado vitakuwepo kwa ajili ya mzunguko wa pili.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Staki kuamnini October man hajawekwa kwenye ushndi ili hali hata kuna uzi wake kailezea hii biasharaHili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.
Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.
MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.
ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.
MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe, mafuta Air freshener, Polish ya dash board n.k ili kumfurahisha zaidi mteja hii itafanya niweze kumpandishia bei mteja na kupata faida maradufu.
UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.
So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.
NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.
IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL
Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449
Vifaa vya kazi
View attachment 1360451
Portfolio | 2020
Hongera bro wazo zuriiiii mnoooMimi si tajiri ila nataka kuwafundisha utu na ubinadamu matajiri walioko JF.
Nataka kijana mwaminifu mmoja kutoka Jf nimwazime 50 na airejeshe baada ya mwezi mmoja au miwili ili nimwazime mwingine.
Changanua wazo lako na weka namba ya simu kama utapenda kuiweka hapa Kisha members wengine watanisaidia kumchagua mtu sahihi.
Please huu sio mkopo kwa wanaojiweza kwa sababu hauna riba na utakuwa umedhulumu haki ya mwingine.
Masharti na vigezo vitazingatiwa. Mshindi atatakiwa kusubmit some of his/ her details PM.
Pesa nitamtumia au kumkabidhi Ijumaa 21/ Febuari/2020.
Shindano litadumu kwa siku 3 tu.
UPDATES
23:15 Jumatano, nimefunga shindano
Nashukuru kwa mliojitokeza kuwania hichi kiasi kidogo cha 50.
Niko busy kidogo na majukumu na washiriki ni wengi.
Ninaomba Jumamosi weekend ndio nipitie post to post ili kuleta haki.
Mshindi atatangazwa na nitampa pesa mkononi kama yuko Dar na kama yuko mkoani nitamtumia na ya kutolea.
Kila mwezi nitafanya kitu hichi na atakayetengeneza faida kubwa zaidi nitampa Pesa nyingi zaidi.
UPDATES
JUMAMOSI SAA 2:50 ASUBUHI
Nimeanza kufanya sorting,niko page number 3,leo hii hii mshindi atatangawa.
UPDATES
09:15 AM
Nimemaliza uchambuzi wa awali na kupata post 22 zenye nguvu zaidi.
Nakunywa chai kisha nimalizie kusort na kupata vijana 3 nitakaowaleta yenu, asanteni.
Updates
09:48 am
Saturday
Nimepata watu hawa, na uchambuzi unaendelea miongoni mwao.
Kama kuna mtu hajatendewa haki anaruhusiwa kuleta malalamiko within one hour.
Walioingia kwenye kinyang'anyiro ni;
1.Zero IQ post no.29
2.Zwenge Ndaba post no.
3.Noelia, post no.170
4.CONTROLA post no.175
5.Davie post no.236
6.Naipenda Familia yangu, post.#57
7.Peramiho Yetu post #30
8.FK21 post #147.
Updates
1930 hrs
Ninaomba radhi kwa kuchelewesha matokeo ya mwisho.
Sikuwa hewani kwasababu zilizo nje ya uwezo.
But nikitulia nitamaliza kazi leo hii hii na mhusika atapewa chake kwa kadri tutakavyokubaliana njia ya kumfikishia Pesa yake
October man alitoa wazo gani?.nishasahauStaki kuamnini October man hajawekwa kwenye ushndi ili hali hata kuna uzi wake kailezea hii biashara
Na tayari ipo kwenye uhalisia
.dah i wish ingekuwa ndani ya uwezo wangu kukusaidia bro
Natamani mwenye uwezo akuwezeshe !
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of topic,,,hivi ndizi mzuzu hukaangwa zikiwa mbivu?Mkungu wa ndizi mbivu mzuzu =18,000
Kunde zilizokobolewa kilo 5 =17,500
Mafuta ya kupikia lita 3 =5,000
Vifungashio 100 =6,000
Mkaa ndoo kubwa =3,500
Jumla =5,000
Naanza kukaanga ndizi na bagia ka kuuza kama vitafunwa:
Package ya sh. 1,000:
Bagia 4 + ndizi 1
Kipato: kilo 5 za kunde nna mkungu wa ndizi vitatengeneza package 80-90 za 1,000 each =80,000-90,000
Faida itakuwa kati ya sh 30,000 na 40,000
NB: mafuta na mkaa bado vitakuwepo kwa ajili ya mzunguko wa pili.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo la kuosha magari ndio la october manOctober man alitoa wazo gani?.nishasahau
Maana nimekutana na wazo la kuchoma mahindi,mishikaki,ķuosha magari nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu tuseme kweli..kweli idea yako ni nzuri lakini mwachie@october man!huyu dogo anapambana...ww machocho ya kupata hela huenda yapo!...mie nataman apate huyu dogo[emoji41]
100% mkuu October man apewe hilo fungu
Zero IQ anachimbo la viepe toka kitambo kutafta hilo 50 ni simple tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Staki kuamnini October man hajawekwa kwenye ushndi ili hali hata kuna uzi wake kailezea hii biashara
Na tayari ipo kwenye uhalisia
.dah i wish ingekuwa ndani ya uwezo wangu kukusaidia bro
Natamani mwenye uwezo akuwezeshe !
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu apewe tu ana shida kweli hajasherehesha mada, kuna wengine wameonesha uwezo wao wa kuchambua biashara lakin hawana shida na 50Staki kuamnini October man hajawekwa kwenye ushndi ili hali hata kuna uzi wake kailezea hii biashara
Na tayari ipo kwenye uhalisia
.dah i wish ingekuwa ndani ya uwezo wangu kukusaidia bro
Natamani mwenye uwezo akuwezeshe !
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of topic,,,hivi ndizi mzuzu hukaangwa zikiwa mbivu?
Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.
Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.
MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.
ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.
MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe, mafuta Air freshener, Polish ya dash board n.k ili kumfurahisha zaidi mteja hii itafanya niweze kumpandishia bei mteja na kupata faida maradufu.
UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.
So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.
NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.
IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL
Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449
Vifaa vya kazi
View attachment 1360451
Portfolio | 2020
Sure mkuu, hii ya kuosha magari hivi inalipa sana kuliko wale wenye car wash rasmi kabisa.Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.